Diamond Umetuangusha kwenye Kideo Cha "WakaWaka" Iga Alichofanya Nay wa Mitego

Diamond Umetuangusha kwenye Kideo Cha "WakaWaka" Iga Alichofanya Nay wa Mitego

Laizer ni tatizzo kwa production za Kimataifaa aiSe anamuangusha sna. Jmaaa, Anagli anauwezo wa kumtumia Tuddy or Nahreel. Production ni mbovu kusema Kweli.
Hata wewe umeliona hilo eeh? Nyimbo za laizer hazijai ila anachofanya ni kuweka bass kubwa!
 
Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Ajuza katika ubora wake. Shikamoo Mama Koku.
 
Ila kuna watu wa ajabu saaana, naamin diamond akitoa wimbo mwingine mtakuja kusema hapa ni mbaya afadhali waka hamuishiwi binadamu. Kama kitu hujakipendaachana nacho kuna wengine watakipenda
Acha ujinga si kila nyimbo ya Diamond nzuri...na si kila nyimbo ya Diamond mbaya

Kibaya kitasemwa,kizuri kitasifiwa..."kama kitu hujakipenda achana nacho" si na angejirekodia akasikiliza mwenyewe ndani ???
 
Acha ujinga si kila nyimbo ya Diamond nzuri...na si kila nyimbo ya Diamond mbaya

Kibaya kitasemwa,kizuri kitasifiwa..."kama kitu hujakipenda achana nacho" si na angejirekodia akasikiliza mwenyewe ndani ???
Mkuu, naomba tuheshimiane. Tusivunjiane heshima kwa sababu ya hawa waimba mziki.
 
Ungemalizia kwa kusifia maumivu/day maana mashabiki wa kibakuli mapimbi sana huwa mnanyifanya mashabiki wa mondi ili tuu mpate kumchafua.
Wimbo wa alikiba ule upo normal ...wakawaida sana....watu hawajaponda sababu hajafanya maandalizi ya kifikra kwa mashabiki....sasa diamond kumuweka mtu attention alaf mwisho wa siku unatoa moto wa vifuu ........
 
Mmmhhh nimesikiliza audio mara 3 sijaelewa au hii ni introduction wimbo bado??
 
My brother from another mother naamini unapitia humu JF huu uzi ni kwa ajili yako, kusema kweli kwenye kideo cha wakawaka ulichomshirikisha rick ross mi naona ni video yako ya ajabu kuwahi kutokea, kwanini hukuamua kuismamia iwe kama zinavyokua video zako nyingine, yani nibora ungeshoot hapa hapa bongo tu mbona watoto wa kali wapo kibao tu na location kali zaidi ya hizo ulizoshootia zipo, kwenye video yako hao ma video queens sio wakali kama tulivyozoea kwenye video zako nyingine bro, yani inaonyesha kabisa uliamua kubania bajet kwenye hii video mzee,


Embu tazama hii video ya Nay wa mitego ambayo nimejaribu tu kuweka audio yako na video imependeza zaidi ya hyo official yako mzee, video ya nay rangi zimetulia watoto wazuri japo sio wazuri ki hivyo lakini wanajua kucheza na kuzungusha viuno tofauti na hao uliowaweka kwenye video yako

Please fanya Remix ya hii ngoma bana, ngoma ni tam sana ila video umetuangusha wabongo sana, wabongo hatutoi video za kishamba kama hizo skuizi, video cheap kama hizo waachie kenya au uganda ambao ni kama underground bado wanakuja kimuziki

ni hayo tu mzee
 
Natamani Waandishi wamuulize haya maswali Diamond
1 Kwanini uapenda kucopy almost kila nyimbo video despite malalamiko ya mashniki zako
2 kwanini video zako hazionekani tena vevo
 
Natamani Waandishi wamuulize haya maswali Diamond
1 Kwanini uapenda kucopy almost kila nyimbo video despite malalamiko ya mashniki zako
2 kwanini video zako hazionekani tena vevo
Hata wewe unaweza kumuuliza na akakujibu pia..!
 
tupo kwenye
Kibakuli naye akatoa maumivu daily..alitegemea Diamond angetoa tarehe apate na yeye kiki kuptia kulinganishwa..pambana na hali zenu..maana mnapewa kiki hamjui kuitumia, mnaanza hadi matusi..sasa mmezimka
game toka vocha inaitwa dola kenge wee huyo domo wa juzi msimlinganishe na king kabisaaaaa nyau nyie.
 
Mkuu lile ni tangazo tu la kinywaji wanachokitangaza na yule mvuta bangi wa marekani ,hakuna wimbo pale
 
Back
Top Bottom