Diamond, unatakiwa kujua kuwa wanakuonea wivu

Platnum is a platnum

nachukia sana anapopambana na huyo jamaa,

ukweli ni kwamba anatakiwa afanye mambo yake.
 
Kitu ngingine nimejifunza kuhusu Diamond na Alikiba ni Diamond anamafans wengi ambao ni wavivu kutoa support kwa msanii wao. Ila ni waongeaji sana mtandaoni.

Sent by Samson Cyper
Mkuu huko you tube tuliingia mpaka na simu za kuazima kama Mara kumi hivi
 
umesahau kitu kimoja, sikuzote ukifanikiwa usiweke kiburi na majivuno kumbuka ulikotoka, kinachomcost Diamond ni kiburi na dharau, mfano mmoja ni alichofanyiwa Bob junior juzi kati.
Mkuu kamfanyaje

invest what you are willing to lose
 
Kwani Alikiba hatakiwi kusapotiwa na hao wasanii?
 
Diamond abadilike na aache mziki wa kihuni na ujanja ujanja, Yale mambo ya vídeo za kukaa uchi yashapitwa na wakati, sisi tunataka mziki usiochuja na tunaoweza kuangalia na família zetu tukiwa sitting room.
 
Nimeona wanaomchukia Kiba nimeona wanaomchukia Mondi,,,,

Ila umesema wewe ni shabiki wa Mondi na si shabiki wa muziki ..ndo maana unaleta post za kumlilia Mondi,,,,
Tunakupa pole sana kwa maumivu unayoyapata....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi kuzuia mafuriko kwa mikono simba ni simba tu hivo visanii vya zamani vitulie tu wakati ukuta wamekumbuka mashuka kumekucha WCB ni taasisi sio diamond pekee kwahiyo kuibomoa nisawa na kuamini kuipoteza israel kwenye ramani ya dunia itawapa shida sana cha muhumimu kila mtu akaze kivyake sasa hivi kila anaetaka kutoa kijimbo au kurudi kwenye game mpaka atafute kiki kwa diamond ndio atusue mpaka hapo mondi sio mtu mdogo halafu kufikiria kumshusha wataumwa ulcers bure hashuki leo wala kesho na wanavozidi kumuombea mabaya Mungu anayabadilisha madua yao inakua baraka, haiwezekani mtu umzidi zaidi ya miaka mitano kwenye game halafu leo hii kila ukitaka kujamba mpaka umhusishe mond uko ni ku fail tumieni nguvu kupaisha matakataka yenu tunatumia akili kumuunga mkono simba wa kimataifa wivu, hasira, chuki,matusi haviwezi mshusha mondi.
 
Lzm mjiulize kwann huyo mange amekuwa anamchukia mondi siku hz maana ni mmoja wa watu waliokuwa wanamshabikia sana. Nakumbuka kuna video zake nyingi mange alikuwa anajirekodi na kuzituma Instagram. Hii issue ya kutukana mwanamke inawezekana ndio imemfanya abadili upepo. Ni jambo jema hata yeye mondi kujitathmini mambo yake anayofanya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie endeleeni kumpotosha....
Kiukweli eneka mpka zilipendwa kuna nini cha ubunifu hasa zaidi ya mavazi....kimahadhi ile nyimbo itakiki sana east africa lakini uko mbele anapoteza mashabiki....zilipendwa kwangu ni nyimbo ambayo imeShuka na kumfanya diamond awe predictable..kitu ambacho kwa msanii sio kizuri..beat zinalingana na maadhi ya nyimbo nyingi za wasafi,melody the same....ivi kama mnaupendo mshawai kumwambia braza wenu afanye kazi na produzer mwingine zaidi ya laizer? Simaanishi bongo bali kwa heshima aliyoijenga kipindi cha nyuma.. Alikua anauwezo wa kuomba hata producer wa davido,tiwa,chidinma,flavour,p square wamfanyie kaz ili kuleta flavour tofaut katika mziki wake.

Zilipendwa itasikilizwa na wahuni tuu...mzee gani wa heshima atasikiliza nyimbo kama hii...

Ila king anacheza na mpka na wazee na amini iko siku ntamkuta mtu na mvi zake anasikiliza nyimbo yake mpya ya seduce me...

Maoni from team mziki mzuri

rap beast
 
Kwakweli ni wivu wa asilimia %. Diamond ni the best na anawaumiza kichwa kwa kweli
 
Kwa mafanikio gani mpaka watu wamuonee wivu, maisha ya show off?? Uswahili?? Dharau kwa mashabiki?? Kwahiyo asikosolewe kisa watu wanamuonea wivu , huyo ni nani labda mnaemuona Mungu mtu wenu, kuna wasanii wako vizuri kipesa kina Ay , jide Jay dee lkn watu waache wote hao waende kumchukia mond bila sababu?? Huyo diamond amelewa sifa mpaka amejisahau kwamba mashabiki ndo anaowategemea badala ya kuwaweka mashabiki karibu yake anawaweka mbali kwasababu ya matendo yake yasiyopendeza, majuzi kati aliwatukana mashabiki et "vichupi kunuka" eti kisa wamemsema sugar mamy wake, haya akaja akamtukana hamisa "bitch" tena mwanamke aliyemzalia mtoto, haya akatoka hapo akaibua upya beef lake na kiba na ommy kwenye wimbo wa fresh remix ..
HIVI KATIKA HAYO YOTE UNAWEZA KUWALAUMU MASHABIKI KWAMBA WANAMCHUKIA MOND?? AU WANAMUONEA WIVU?? HUONI KAMA YEYE PIA NI CHANZO??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wasanii wengi wakongwe ndio wanachuki naye kupitiliza..

Sasa msanii kama matonya eti analalama kakopiwa wimbo wake,hivi ana akili kweli?

Ukiitambua thamani yako utageuka adui wa wengi sana!
Ni Kitu Ambacho Leo Kimenifanya Nifikilie Kidogo kwa ichi Ambacho kinaendelea, Nikajikuta Napata Jibu la Kuwa Popote kwenye Mafanikio Lazima Maadui Wawepo, Awa Wote Leo wanaomsifia Uyu Kipusa Ni Matokeo ya chuki walizonazo Ndani ya Mioyo Yao Kumchukia Kijana Mdogo kama Dai.

Hii Team Walioanzisha Ikiongozwa Na Uyo Dada Yao Ni Wanamchukia Tuuh Dai Tena Chuki Za Wazi Kabisa Bila Kuzificha Yote Ni Kutokana Na Jitihada Zake Kazi Anayoifanya Dai Mola Atakusimama Kaka Yangu..

Wengine Wameanza Mziki Mpka Wanapotea Awajawahi Fikia Izi Level Alizonazo Uyu Kijana So Ni Lazima Tuuh Wamchukie

Ila Mola ATASIMAMA NAE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…