Nyie endeleeni kumpotosha....
Kiukweli eneka mpka zilipendwa kuna nini cha ubunifu hasa zaidi ya mavazi....kimahadhi ile nyimbo itakiki sana east africa lakini uko mbele anapoteza mashabiki....zilipendwa kwangu ni nyimbo ambayo imeShuka na kumfanya diamond awe predictable..kitu ambacho kwa msanii sio kizuri..beat zinalingana na maadhi ya nyimbo nyingi za wasafi,melody the same....ivi kama mnaupendo mshawai kumwambia braza wenu afanye kazi na produzer mwingine zaidi ya laizer? Simaanishi bongo bali kwa heshima aliyoijenga kipindi cha nyuma.. Alikua anauwezo wa kuomba hata producer wa davido,tiwa,chidinma,flavour,p square wamfanyie kaz ili kuleta flavour tofaut katika mziki wake.
Zilipendwa itasikilizwa na wahuni tuu...mzee gani wa heshima atasikiliza nyimbo kama hii...
Ila king anacheza na mpka na wazee na amini iko siku ntamkuta mtu na mvi zake anasikiliza nyimbo yake mpya ya seduce me...
Maoni from team mziki mzuri
rap beast