Diamond, unatakiwa kujua kuwa wanakuonea wivu

D anamambo yakimama maana mi nashindwa kuelewa watu wanaposema anachukiwa kwaajili ya mafanikio ingekua hivo mo angechukiwa na wangapi???

Huyo ana uswahili mwingi lakini ali hana mda mwingi wa sho off za kijinga jinga afu zilipendwa hiwezi pigwa club na mtu akaenjoy ila seduce me ndo habari ya mjini katika club zote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti katafute hela achana na maisha ya watu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na aliyeanzisha hii thread mmeongea ukweli mtupu, sina hata cha kuongeza wala kupunguza. All in all Kiba sio msanii wa kulinganishwa na Diamond kwa kitu chochote kile labda jinsia tu. Diamond atabaki kuwa Diamond na Kiba atabaki kuwa Kiba.
 
Umemaliza kila kitu....

Midia wanapiga zaid nyimbo ya Kiba ila mtaani watu wanadownload zaid nyimbo za Dai.......

Ofcoz mi nawakubali wote ila na mwona Dai akijituma na kutumia akili zaid......! Ata hivyo nais Dai na Kiba hawana uhadui uo inawezekana vyote vinavyotokea wanapanga ili wabaki juu kimziki maaana bila ya hivyo kuna kina Aslay, Beka wanatishia kushika uskani.!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari ya kiba haiwaki mpaka tusukume alafu eti tunasema ni mpya,zero km,bei mbaya,model 2017, vogue haitii mguu
Wakati tunaendelea kulisukuma kama kawaida yake dereva kiba katulia tu hata kushtua kwa kuachia clutch kwa ghafla anashindwa matokeo yake tunazidi kusukuma gari kwa umbali mrefu huku idadi ya tunaolisukuma gari ikizidi kupungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto wewe ulimshika hamisa miguu mpaka uwe na uhakika ni wa chibu.

Xmass Boy.
 
Mimi sina team....nafasi na mchango wa D kwenye Bongo Fleva unafahamika na hautokuja kutoweka kamwe....ila unachotakiwa kujua ni kwamba sio kila muda D akitoa nyimbo eti inabidi iwe no. 1....apo utakua umefeli....ukweli ni kwamba ngoma ya Kiba kwa sasa ndo no.1.....isssue hii ilitokea pia kipindi kile katoa Darassa ngoma ya Muziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nampenda diamond ila sipend anavyosafiria nyota ya nay wa mitego. Yaani kuimba na vijembe vya taarabu.

Kama amefanikiwa sasa anataka nini kwenye kuimba imba wasanii wenzake ambao anajua wamefeli?

Cha mwisho ni kwamba sipendi tabia ya yeye kuja na copy za nyimbo za wasanii wa zamani.

Kama kweli ni msanii, aje na unique song kama zile za zamani. Mfano ni nyimbo yake ya ukimuona, mapenzi basi na my number one. Sio hizi zilipendwa copy za kina matonya

Kuwa msanii mkubwa kuna kazi yake. Na kazi yenyewe ni kutoa kitu cha tofauti.

Kwa wakati huu, nimemuelewa kiba sana maana kaja na kitu cha pekee. Huo ndo usanii mkubwa tunaotaka.

Nakupa mfano mdogo. Juzi kati kaomba remix ya nyimbo ya fid q fresh. Unajua kwanini? Kwasababu ni nyimbo iliyokuja kipekee. Yaani mpaka unavutiwa

Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…