Diamond unlocked Mamagold Standards

Hadi raha

Oyeeee Chibu aka Baba Tiffah aka mume wa Zari aka Baba kijacho.
 
Mzee wa kufagia njia watelezaji watelezee haha chibuuuu huu mchezo hau hitaji hasira [emoji16]
 
Ukiwa against na huyu jamaa unaweza kupoteza hamu ya kula..! Hongera Chibu kwa kuwakilisha vyema innocent land
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…