Diamond unlocked Mamagold Standards

Diamond unlocked Mamagold Standards

King Kiba wanamu unlock saa ngapi?
Yuko mombasa wanamua unlock huko huko
1473947591935.jpg
 
Hadi raha

Oyeeee Chibu aka Baba Tiffah aka mume wa Zari aka Baba kijacho.
 
Mzee wa kufagia njia watelezaji watelezee haha chibuuuu huu mchezo hau hitaji hasira [emoji16]
 
Ukiwa against na huyu jamaa unaweza kupoteza hamu ya kula..! Hongera Chibu kwa kuwakilisha vyema innocent land
 
Back
Top Bottom