Inna Lilah wa INA Lilah Raajun...Unapata wapi ujasiri wa kuandika maneno mazito na yenye kuudhi kama haya..Wewe ni Great Thinker kweli?Mtume Mohamadi Akiwa takriban miaka Ishirini alimuoa Jasusi wa kikatoliki Bibi Khadija akiwa na Miaka arobaini. Na baadae aliweza kuendelea kuoa wanawake wengine wengi akiwamo Aisha aliyemuoa akiwa na miaka tisa.
Kwa kutumia utaratibu wa Imani yake ya Kiislam, Diamond anaweza Kumuoa Zarina, Hamisa, na wengineo wengi.
Watu wanamfananisha Diamond Platnumz na Mtume wake Mohamad ambaye pia alikuwa mwanamziki upande wa mashairi enzi hizo.
Sawa kaka ake HamisaNimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.
Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.
Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.
Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aiseeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuwa mtanzania kazi kweli
Huoni watu mapovu yanavowatoka kisa video tuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] wamekua wajuaji kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huoni watu mapovu yanavowatoka kisa video tuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] wamekua wajuaji kweli
Ndo hapo.... Watz sie wanafiki....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti mtu wasirudiane kisa mwanamke mkubwa
Kwan wanavo kutana hawakujua hilo?
Nahama bongo kwa kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo hapo.... Watz sie wanafiki....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo ushangae sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa hiyo ni video tu ila povu jingi ingekuwa kweli sjajua wange fanyaje
Mapenzi hayako utakavyo, na Diamond haoi kukufurahisha wewe. Mwacheni aishi maisha yake, kipendacho roho ni dawa.Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.
Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.
Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.
Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo ushangae sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nahamia Congo nchi yenu isha nishnda
Mwambie pia kwamba juzi Prince Harry kamuoa Meghan ambaye ananzidi umri...Mtoa mada acha kuita watoto wa mwenzako mitoto. Umesema hamisa hajatoa siri una uhakika? Zile video zilizovujishwa ? Ulimsikia esma interview Yake kuhusu zari alivyokuwa ana m treat diamond? Mwanamke ni msafi wa nyumba na ku make sure diamond yupo sana kwa kila kitu. Watu wengi tuna judge kutokana na picha tu za insta ila ukweli wanaujua wao. Kwa nini suala p.a. umri kibongo bongo ni big deal.mmoja wa p square mke wake amemzidi umri .ila wenyewe wanaishi raha mustarehe. Diamond mwenyewe aliwahi kukiri zari hamuombi hela. Kikubwa sometimes wanaume hamjijui mnataka nini.ipo na kwa baadhi ya wanawake
Nafikiri katoa mfano wa Muhammad kwababu Diamond ni muislamu angelikuwa Diamond Mkiristo nadhani angelitoa mfano wa YesuKwan Mohamed ndo nani naye si alikuwa binadam tu kama ww na mm?
Hakuna kipindi Dada yako Hamisa amepata wakati mgumu kama week hii... Kwanza Bashite akatangaza kunyakuliwa kwa baby daddy number one, na baada ya video ya Jana, atakua alilia siku mzima, maana baby daddy number two ndo basi tena...Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.
Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.
Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.
Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
Mbona hata wew umekashifu,acheni kung'ang'ania dini zisizo zenuKwa hiyo na wao wamfananishe Alikiba na Yesu ambaye hakupenda show off!?.
Unakosea sana kuleta mtu wa heshima kama huyo kwenye mada za kijinga kama hizi!. Siyo vizuri kukashfu dini za wenzio mkuu!.