Diamond usije kujiroga kurudiana na Zari au kuja kumuoa huyo mwanamke, itakutokea puani

Diamond usije kujiroga kurudiana na Zari au kuja kumuoa huyo mwanamke, itakutokea puani

Pumbavu. Weka sifa za mke wako hapa. Usheniz mtupu.

Eti demu mkali asiye n amtoto. Akili za kishenzi sana. Kwa hiyo kwako mtoto ni laana? Pumbvu kweli kweli.
Ma single mother mna hatari kama vile sisi ndio tuliwapa hizo mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi wabongo mnapata wapi muda na nguvu za kumchagulia mtu demu au mke ilihali wengi wenu mpo hohe hahe kwenye mahusiano.
Huu ni msiba mzito tena wanaume full kushika bango. Tunashushiana hadhi jamani[emoji35]
 
Mtume hafanananishwi bwana

Kwa nn asifananishwe wakati kazaliwa, kakua, kamuoa khadja kwa kufata kitonga kama vijana wa sasa wanavyofanya kukimbilia mijimama yenye hela ili iwalee, alikua anatamani Mizigo kama sisi, amekufa, hajafufuka wala nn. Yupo kaburini anasubiri hukumu siku ya mwisho kama ambavyo sisi tutasubiri hukumu siku tukifa. Huyo ni mtu tu kama ww.
 
Umri sio ishu mbona rais wa ufaransa Macron na mkewe Brigitte wamepishana miaka 25 yani mke 64 mume 39 na walioana mwaka 2007 kipindi hicho macron akiwa 29 na mkewe 54 na still mpaka Leo wapo pamoja. Na kwa kukukumbusha tu walianza relation kabla ya ndoa macron akiwa 15 mkewe akiwa 40. Kwahiyo age is just a number.
 
Pumbavu. Weka sifa za mke wako hapa. Usheniz mtupu.

Eti demu mkali asiye n amtoto. Akili za kishenzi sana. Kwa hiyo kwako mtoto ni laana? Pumbvu kweli kweli.
bora katoto ng'aa umeona yule mkubwa anavyomtazamaga mond kwa hasira
 
Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.

Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.

Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.

Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
welevu tuliishia hapa kusoma huu uzi '' .....kama role model wako alikiba..............'' sasa huyo bwana ameoa au ameolewa
 
Mambo yao waachie wenyewe yasikuumize kichwa...

Kama huyo Zari kamfanyia hayo yote huyo jamaa hao wengine wamemfanyia nini zaidi ya kumpeleka mahakamani juu ya child support...

Cc: mahondaw
 
Babutale anauliza aende SA au asiende?

upload_2018-6-2_17-8-23.png
 
Mkuu husomi Historia ya Mohamad? Hujui hata kwenye kitabu kinachodaiwa kushushwa yoka juu kama aya mbali mbali ambaza maswahaba na watu wengine walizikariri na kuzihifadhi kisha kuitwa Kuruani ndani yake kuna mashairi mengi ya Mohamadi ambayo vijana wa kiislamu wamekuwa wakikaririshwa kuimba?

Anyway kuhusu suali lako soma Kuruani Sura ya 109 yote.
you are drunk
 
Haya bana mjinga mimi
 
Huu uzi ukiupitia wote huu kama ww ni mtu wa din bass hasira zitakupandaa tuuu
 
Kwa nn asifananishwe wakati kazaliwa, kakua, kamuoa khadja kwa kufata kitonga kama vijana wa sasa wanavyofanya kukimbilia mijimama yenye hela ili iwalee, alikua anatamani Mizigo kama sisi, amekufa, hajafufuka wala nn. Yupo kaburini anasubiri hukumu siku ya mwisho kama ambavyo sisi tutasubiri hukumu siku tukifa. Huyo ni mtu tu kama ww.
Upo sahihi Mtume Muhammad ni mtu kama sie lakini tofauti yetu ni kwamba yeye ana hadhi tofauti na yako na yangu...ni sawa sawa na rais wako wa nchi nyote ni watu lkn haulingani nae kihadhi...so heshimu hadhi yake na muweke katika cheo chake...halafu usifananishe mashairi ya mtume na muziki wako wa diamond.

Pia acha kupotosha, Mtume hajamfuata bi Khadija amuoe, ila bi Khadija ndiye aliyempenda Mtume na kumuomba mtume amuoe ndipo mtume akamuoa bi khadija tena Mahari alisaidiwa na huyo huyo bi khadija...usiongee mambo usiyokuwa na elimu nayo.
 
Mtume hafanananishwi bwana
Sio mtume wa hao wanaomfananisha! Kwa ni mtu wa kawaida tuu.
Mkuu hayo ya Mohamad naona ungeyaacha, unapotosha, najua ninchuki tu juu ya uislam na waislam.

"Useless broke nigga"
Hapana mkuu sina chuki na mtu wala dini ya mtu. Mimi ninasoma historia za watu mbali mbali. Na wewe soma pia kwa faida yako. Kwani hakumuuoa hadija na Aisha?
 
Upo sahihi Mtume Muhammad ni mtu kama sie lakini tofauti yetu ni kwamba yeye ana hadhi tofauti na yako na yangu...ni sawa sawa na rais wako wa nchi nyote ni watu lkn haulingani nae kihadhi...so heshimu hadhi yake na muweke katika cheo chake...halafu usifananishe mashairi ya mtume na muziki wako wa diamond.

Pia acha kupotosha, Mtume hajamfuata bi Khadija amuoe, ila bi Khadija ndiye aliyempenda Mtume na kumuomba mtume amuoe ndipo mtume akamuoa bi khadija tena Mahari alisaidiwa na huyo huyo bi khadija...usiongee mambo usiyokuwa na elimu nayo.
Sasa hapo umeonyesha kabisa mbinu za kijasusi za Bi hadija
 
Back
Top Bottom