Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ma single mother mna hatari kama vile sisi ndio tuliwapa hizo mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pumbavu. Weka sifa za mke wako hapa. Usheniz mtupu.
Eti demu mkali asiye n amtoto. Akili za kishenzi sana. Kwa hiyo kwako mtoto ni laana? Pumbvu kweli kweli.
Mtume hafanananishwi bwana
bora katoto ng'aa umeona yule mkubwa anavyomtazamaga mond kwa hasiraPumbavu. Weka sifa za mke wako hapa. Usheniz mtupu.
Eti demu mkali asiye n amtoto. Akili za kishenzi sana. Kwa hiyo kwako mtoto ni laana? Pumbvu kweli kweli.
welevu tuliishia hapa kusoma huu uzi '' .....kama role model wako alikiba..............'' sasa huyo bwana ameoa au ameolewaNimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.
Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.
Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.
Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
you are drunkMkuu husomi Historia ya Mohamad? Hujui hata kwenye kitabu kinachodaiwa kushushwa yoka juu kama aya mbali mbali ambaza maswahaba na watu wengine walizikariri na kuzihifadhi kisha kuitwa Kuruani ndani yake kuna mashairi mengi ya Mohamadi ambayo vijana wa kiislamu wamekuwa wakikaririshwa kuimba?
Anyway kuhusu suali lako soma Kuruani Sura ya 109 yote.
Haya bana mjinga mimiMkuu husomi Historia ya Mohamad? Hujui hata kwenye kitabu kinachodaiwa kushushwa yoka juu kama aya mbali mbali ambaza maswahaba na watu wengine walizikariri na kuzihifadhi kisha kuitwa Kuruani ndani yake kuna mashairi mengi ya Mohamadi ambayo vijana wa kiislamu wamekuwa wakikaririshwa kuimba?
Anyway kuhusu suali lako soma Kuruani Sura ya 109 yote.
utabadili lengo la uzi....bora ukaushe tuKwan Mohamed ndo nani naye si alikuwa binadam tu kama ww na mm?
Upo sahihi Mtume Muhammad ni mtu kama sie lakini tofauti yetu ni kwamba yeye ana hadhi tofauti na yako na yangu...ni sawa sawa na rais wako wa nchi nyote ni watu lkn haulingani nae kihadhi...so heshimu hadhi yake na muweke katika cheo chake...halafu usifananishe mashairi ya mtume na muziki wako wa diamond.Kwa nn asifananishwe wakati kazaliwa, kakua, kamuoa khadja kwa kufata kitonga kama vijana wa sasa wanavyofanya kukimbilia mijimama yenye hela ili iwalee, alikua anatamani Mizigo kama sisi, amekufa, hajafufuka wala nn. Yupo kaburini anasubiri hukumu siku ya mwisho kama ambavyo sisi tutasubiri hukumu siku tukifa. Huyo ni mtu tu kama ww.
Sio mtume wa hao wanaomfananisha! Kwa ni mtu wa kawaida tuu.Mtume hafanananishwi bwana
Hapana mkuu sina chuki na mtu wala dini ya mtu. Mimi ninasoma historia za watu mbali mbali. Na wewe soma pia kwa faida yako. Kwani hakumuuoa hadija na Aisha?Mkuu hayo ya Mohamad naona ungeyaacha, unapotosha, najua ninchuki tu juu ya uislam na waislam.
"Useless broke nigga"
Sasa hapo umeonyesha kabisa mbinu za kijasusi za Bi hadijaUpo sahihi Mtume Muhammad ni mtu kama sie lakini tofauti yetu ni kwamba yeye ana hadhi tofauti na yako na yangu...ni sawa sawa na rais wako wa nchi nyote ni watu lkn haulingani nae kihadhi...so heshimu hadhi yake na muweke katika cheo chake...halafu usifananishe mashairi ya mtume na muziki wako wa diamond.
Pia acha kupotosha, Mtume hajamfuata bi Khadija amuoe, ila bi Khadija ndiye aliyempenda Mtume na kumuomba mtume amuoe ndipo mtume akamuoa bi khadija tena Mahari alisaidiwa na huyo huyo bi khadija...usiongee mambo usiyokuwa na elimu nayo.