Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Acha ujinga kijana Waislam wote ndugu hatujibagui kwa rangi wala kabila km ww ww unavobagua ulitakiwa useme Mtanzania mwenzangu.Wewe ni mwarabu? Au mmakonde mwenzangu kujifanya unawajua saana waarabu
Labda unataka awe kama yule aliyekuwa anazunguka na kulala na vidume kumi na mbili sio.Mtume Mohamadi Akiwa takriban miaka Ishirini alimuoa Jasusi wa kikatoliki Bibi Khadija akiwa na Miaka arobaini. Na baadae aliweza kuendelea kuoa wanawake wengine wengi akiwamo Aisha aliyemuoa akiwa na miaka tisa.
Kwa kutumia utaratibu wa Imani yake ya Kiislam, Diamond anaweza Kumuoa Zarina, Hamisa, na wengineo wengi.
Watu wanamfananisha Diamond Platnumz na Mtume wake Mohamad ambaye pia alikuwa mwanamziki upande wa mashairi enzi hizo.
Kim Kardashian has a net worth of about $175 million na alikua video vixen kwenye video ya mumewe Kanye nyimbo ya bound 2.......Okurr?Kutoka bosslady mpaka kuwa video vixen [emoji23]
Hapo umeweka chumvi nini? Mtoto wa miaka 9 ana utamu gani? Hapo si unabaka
Mbona na wwe umerudia makosa sasa.Kwa hiyo na wao wamfananishe Alikiba na Yesu ambaye hakupenda show off!?.
Unakosea sana kuleta mtu wa heshima kama huyo kwenye mada za kijinga kama hizi!. Siyo vizuri kukashfu dini za wenzio mkuu!.
ndo nini? yani unakusudia kusema kitu gani hapa? unajua maana ya ujasusi kwanza?Sasa hapo umeonyesha kabisa mbinu za kijasusi za Bi hadija
Mtume alikua msanii tu, usinifananishe mm mtenda mema na mtu huyo. Huyo mm kanizidi ukorofi tu na kuchinja watu huku akiwadanganya uislam ni dini ya Mungu. Hadhi aliyokuanayo ni kwa wanadamu wasimjua Mungu wa kweli, Ila kwa Mungu wa Mbinguni anasubiri kuunguzwa siku ya mwisho kama wengine tu navyosubiri. Hivi kwann sikatae kumuoa Bi khadja hata kama alitongozwa. Hayo ndio mambo hata vijana wa leo wanapenda, utakuta mtoto mdogo anatongozwa na limama kisa linahela anakubali. Huoni kama hiyo mbegu ilipandwa na Muhammad.Upo sahihi Mtume Muhammad ni mtu kama sie lakini tofauti yetu ni kwamba yeye ana hadhi tofauti na yako na yangu...ni sawa sawa na rais wako wa nchi nyote ni watu lkn haulingani nae kihadhi...so heshimu hadhi yake na muweke katika cheo chake...halafu usifananishe mashairi ya mtume na muziki wako wa diamond.
Pia acha kupotosha, Mtume hajamfuata bi Khadija amuoe, ila bi Khadija ndiye aliyempenda Mtume na kumuomba mtume amuoe ndipo mtume akamuoa bi khadija tena Mahari alisaidiwa na huyo huyo bi khadija...usiongee mambo usiyokuwa na elimu nayo.
Sifanyi matendo maovu ya kumkera binadamu mwenzangu direct,sitaki kujua cha yesu wala Mohammad, mi naamin mungu na siyo kupitia watu(yesu na Mohammad)Dini yako ni ipi mpuuzi wewe!?...
Nimeweka usawa!Mbona na wwe umerudia makosa sasa.
Inamaana unamaanisha s.a.w alikua mwana bongo flavaMtume Mohamadi Akiwa takriban miaka Ishirini alimuoa Jasusi wa kikatoliki Bibi Khadija akiwa na Miaka arobaini. Na baadae aliweza kuendelea kuoa wanawake wengine wengi akiwamo Aisha aliyemuoa akiwa na miaka tisa.
Kwa kutumia utaratibu wa Imani yake ya Kiislam, Diamond anaweza Kumuoa Zarina, Hamisa, na wengineo wengi.
Watu wanamfananisha Diamond Platnumz na Mtume wake Mohamad ambaye pia alikuwa mwanamziki upande wa mashairi enzi hizo.
Huyo mungu unamwamini kwa reference zipi?..Unaweza penda safiri bila penda aina ya usafiri wa kutumia?.. Hata dini za kiafrika zinaamini miungu kupitia mti, jiwe, ng'ombe etc!.Sifanyi matendo maovu ya kumkera binadamu mwenzangu direct,sitaki kujua cha yesu wala Mohammad, mi naamin mungu na siyo kupitia watu(yesu na Mohammad)
Ungem-dm insta ingependeza zaidi.Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.
Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.
Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.
Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
KifimboAsante sana mwelevu.
You are Wrong about age difference! Ingekuwa hivyo mjukuu wa Malkia Elizabeth Prince Harry asingeruhusiwa kumwoa Meghan ambaye amemzidi miaka 3. Ndoa ya kifahari iliyoonyeshwa Dunia nzima Princess to be 36, Prince 33. Mambo ya umri yako kwa walioshindwa ambao hutumia kigezo cha umri kudhalilisha washindani wao. Eti tusi mzee na mengineyo. Halafu usipende sana kudharau wanawake wanaowazidi waume zao umri. Mbona Machache hakupewa huu ushauri anaopewa Dai, Mugabe na wengineo. Diamond Zari anakufaa familia nzuri yenye kujiweza kila mmoja ana pesa yake ya kutosha.Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.