donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mwanaume kupenda kucheka Cheka ni dalili mbaya sana
Tatizo ma miziki yetu yana ushirikina mwingi sana, ata sishangai vimbweka vinavyoonekana iwe social media au uraiani. Watu watafanya kazi za kukomoana kwa sababu hawajui nn wanatafuta, mfano diamond ame achieve mambo mengi mazuri kwenye muziki lkn hawezi kubaki salama na mafanikio yake kwa sababu mwanzo alivyoingia kwenye huo muziki, Je! Aliingiaje ingiaje? Muda ni rafiki mzuri kwenye kupata matokeo, vilevile muda siyo rafiki mzuri kwa sababu unakutupa mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia youtube angalia interview ya kiba kipindi anataka kutoa mwana zen urudi apa......iyo interview in maneno makali sana ya kumponda mond lkn watu hujisfany kama hawajawai kuisikia......wabongo wengi wetu wanafiki sana tunapenda kulalia upande mmoja na kuna kitu nisha kinoti....ikitokea msanii anamudiss mond watu wengi hufurahi sana hat ukifatilia iyo interview ya alikiba na sporah watu wengi walimsifi san kib.....lakin mondi akijibu inakuwa tatzo na inakuzwa san.Umeongea maneno mengi ila kuna vitu vya muhimu umeviacha.... inawezekana umeviacha kwa makusudi au kwa bahati mbaya..... ukiangalia wazi kabisa jambo ulilongea sina uhakika ni muhimu kwamba team zife ila kimantiki haiwezekani.... kwa sababu ili yawepo maendeleo ya kitu flani lazima kiwepo kitu ambacho kinapinga....(ili iwepo motion lazima iwepo na frictional force kwa Wanasayansi washaelewa...) na kitu ambacho kitaonyesha upinzani ni watu ambao wanasapoti kile kitu.... Nahisi itakuwa umesahau....NAKUOMBA UKITULIA UUFAFANUE KAULI HII "ili ufanikiwe unahitaji marafiki na ili ufanikiwe zaidi unahitaji...... " halafu tafakari....
Hivyo wazo la kusema timu zife ni njia moja wapo ya kuondoa mafanikio.... pia hadhi ya kitu.....
Jambo halisi nilokusudia ni hili..... Mtoa post bado umelalia sehemu moja umelalia kulaumu washabiki wakati wao sio kosa lao... mashabiki maisha yote wanangalia kile wanachokishabikia..... NAOMBA UVUTE PICHA URUDISHE KUMBU KUMBU NYUMA... kwa mfano leo tukiangalia Tanzania hakuna asiejua kwamba Kuna umoja wa UKAWA...ambao unaunganisha baadhi ya vyama.... vuta picha hapo mwanzo vyama hivi kabla ya kuungana vilikuwa vipi..? kila kiongozi akipanda jukwaani anakiponda chama chengine na wananchi walikuwa wapo vipi...? Je mbona walipoamua kuungana na wananchi nao wakapatana moja kwa moja....
Tukiachilia mbali kwenye mitandao... Mimi binafsi yangu nimeangalia.... nimesikilliza kazi zote ila sijawahi kuiona au kusikia kazi ya Ali kiba ikizungumza neno la kumdiss Diamond.... ila nikisikiliza kazi za Diamond anazungumza wazi kumdiss Ali kiba.... Kwa hali hiyo unahisi team zitakuwa ktk hali gani.... nimetoa mfano tuu japo kama kuna watu watakuja kusema nipo timu fulani nimelalia upande fulani... ila nimetoa mfano ulio wazi kabisa........
Naomba uangalie tn post yako kwa usahihi.... huku kwetu tuna msemo usemao.... "Usimharamishe kasa ukamhalalisha kaa"
Ni hayo tuuu...Shukran....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ceduce inabamba instagram.Ww ni mtu wa kupuuzwa kama CCM
Ngoma inayobamba kwenye media VS inayopigwa uswazi ipi zaidi?
Huyu jamaa elimu haijamkomboa au ni mchawi pengne maana anaamin sana mambo za kijinga jing zinazohusu maushirikina. Wanasema mchawi anamjua mchawi mwenzake.Kaka post zako nyingi umu umekuwa ukiongelea sana ushirikina,nimefatlia ata lile sakata lako la kukataa mtoto. Vipi wewe ni mchawi?
Team haziuwi mziki Mkuu...Mara nyingi huww nipo tofauti na wewe. Leo umeongea point ya maana sana. Kwa hili nakubaliana na wewe 100%.
Team zitafanya mziki ufe.
Hahaahha....Mimi ni shauri nyinyi watu wa siasa haya mambo ya mziki mya ache kma hamuyaoni
Acha uongo, mm namzidi mshana Jr!!! Halaf sakata la kumkataa mtoto umelifuatilia vp wakati hata mm mwenyewe cjui!!! Na linahusiana vp na ushirikina unaoulalamikia ww??? Mi c mchaw, lkn muombe Mungu sana aweze kukupa macho ya rohoniKaka post zako nyingi umu umekuwa ukiongelea sana ushirikina,nimefatlia ata lile sakata lako la kukataa mtoto. Vipi wewe ni mchawi?
Acha umbeaHuyu jamaa elimu haijamkomboa au ni mchawi pengne maana anaamin sana mambo za kijinga jing zinazohusu maushirikina. Wanasema mchawi anamjua mchawi mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuelewa kaka.... me nimekwambia kwenye nyimbo na sio kwenye interview... kwenye interview Originality yake uchochezi au kikwazo na haswa km kuna competition na kitu unachokifanya.... ili interview iwe nzuri na muandishi aweze kuuza habari yake lazima kuwe na kubezana na lazima akulize maswali ya uchochezi...... hata km hutaki atakuliza maswali na utaingia mwenyewe kwenye line mwenyewe..... ww ukiwekewa interview muandishi anaweza kukuachanisha na mtu wako wa karibu....reality hiyo kaka....Ingia youtube angalia interview ya kiba kipindi anataka kutoa mwana zen urudi apa......iyo interview in maneno makali sana ya kumponda mond lkn watu hujisfany kama hawajawai kuisikia......wabongo wengi wetu wanafiki sana tunapenda kulalia upande mmoja na kuna kitu nisha kinoti....ikitokea msanii anamudiss mond watu wengi hufurahi sana hat ukifatilia iyo interview ya alikiba na sporah watu wengi walimsifi san kib.....lakin mondi akijibu inakuwa tatzo na inakuzwa san.
Sent using Jamii Forums mobile app