Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

yani sijawahi kuvote ila watz wenye roho za kichawi wanaojifanya kusupport wanigeria wamenipa hasira nimeanza kuvote kwa hasira zote ninnavote hadi kidole kinaomba poo na hivi hawanilimit navote hata Mara Mia 8 per day

Safi sana..Mi pia nilikuaga navote juu juu tu lkn after ths devil campaign yakuwapigia Nigeria yan kila napochil Navote as long as nina bundle.. tupige kura 2.
 
Vote vote kwa sukari warembo Diamond platnum
 
Attachments

  • wp_ss_20150615_0006.png
    wp_ss_20150615_0006.png
    157.8 KB · Views: 80
yani sijawahi kuvote ila watz wenye roho za kichawi wanaojifanya kusupport wanigeria wamenipa hasira nimeanza kuvote kwa hasira zote ninnavote hadi kidole kinaomba poo na hivi hawanilimit navote hata Mara Mia 8 per day

Kumbe umethibitisha hapa huwa haupigi kura sasa mapovu yanayowatoka huwa ni ya nini?
 
Sasa naomba mnijibu swali la msingi huyu msanii amnayehamasishana kumpigia kura ikija akashinda atakuwa anastahili au hastahili?

Atakua amestahili sasa unataka tuache nani atavote. TunaVote kwa ajili yao na nchi pia kuitangaza dat all
 
Atakua amestahili sasa unataka tuache nani atavote. TunaVote kwa ajili yao na nchi pia kuitangaza dat all

Sasa kama atakuwa amestahili kwa kura zenu inakuwaje mwingine ameshinnda kwa kupigiwa kura na mashabiki nyinyi mnatokwa na mapovu huoni hii ni double standard?
 
Sasa kama atakuwa amestahili kwa kura zenu inakuwaje mwingine ameshinnda kwa kupigiwa kura na mashabiki nyinyi mnatokwa na mapovu huoni hii ni double standard?

Mi sina shida na ushindi wa kiba. No comment mjadala ushafungwa wala ckumind kiba kuchukua tuzo hizo japo ckupenda moja 2 ya mtumbuizaji bora. Sisi tupo kwenye mtv now ndo tunachofocus
 
Mi sina shida na ushindi wa kiba. No comment mjadala ushafungwa wala ckumind kiba kuchukua tuzo hizo japo ckupenda moja 2 ya mtumbuizaji bora. Sisi tupo kwenye mtv now ndo tunachofocus

Aliyefunga mjadala ni nani? Mtu anawezaje kuwa nomineted. halafu hasistahili tuzo akishinda? Huoni unsjichanganya?
 
Aliyefunga mjadala ni nani? Mtu anawezaje kuwa nomineted. halafu hasistahili tuzo akishinda? Huoni unsjichanganya?

Kuto kustahili au kustahili ni maoni ya mtu tu na hua yapo kwenye tuzo nyingi kulalamikiwa. Eg kama tuzo za grammy mwaka jana Category ya HipHop waliposhinda kina Macklemore badala ya Kendrik Lamar watu wakalalamika sana. Kwaio sio dhambi kulalamikia kitu ni maoni tu ya mtu. Bt mwisho wa cku aliyechukua kachukua dat all cwez kaa nasema Kiba cjui nn cna mda huo. Mapunguf yapo alwayz kwenye KTMA
 
Sasa kama atakuwa amestahili kwa kura zenu inakuwaje mwingine ameshinnda kwa kupigiwa kura na mashabiki nyinyi mnatokwa na mapovu huoni hii ni double standard?

Kachaguliwa na majaji waliowekwa na basata. Unajua sio 100% kura kupata ushindi.
 
Matola nakusoma kwa ukaribu kabsa hapa, umewabananisha vilivyo team Kitorondo!

Naona majibu yanagongana tu!
Upo vzr mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Matola nakusoma kwa ukaribu kabsa hapa, umewabananisha vilivyo team Kitorondo!

Naona majibu yanagongana tu!
Upo vzr mkuu!

Kuna wakati inahitaji utulivu tu kuwashusha watu mihemko maana hakuna anayeweza kupindisha ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Hizi mambo za timu ushuzi sijui mwazitoa wapi? To be nominated tu tena kwa categories tatu ni sababu tosha kuwa the guy is something else.
 
wadau campeni ya kuwapigia kura
diamond na vanessa inaendelea vizuri
sapport kubwa kutoka kwa.
Flaviana matata
Millen magessa zari the bosslady
eric omondi
lulu michael
idriss sultan
millard ayo
B12 adam mchomvu
salama jabir
madam rita
joh makini
nikki wa pili
G nako dj mafuvu
nawengine kibao mpaka tuzo zije
nyumbani vote vote vote vote.
When God say yes nobody can say no.
Achaneni na hawa wasiojielewa
 
Back
Top Bottom