BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
yani sijawahi kuvote ila watz wenye roho za kichawi wanaojifanya kusupport wanigeria wamenipa hasira nimeanza kuvote kwa hasira zote ninnavote hadi kidole kinaomba poo na hivi hawanilimit navote hata Mara Mia 8 per day
Naona wasanii IG wanapiga sana kampeni safi sana inapendeza" vote for Vanessa&Diamond
halooooooo ,vote vote vote
Vote vote kwa sukari warembo Diamond platnum
yani sijawahi kuvote ila watz wenye roho za kichawi wanaojifanya kusupport wanigeria wamenipa hasira nimeanza kuvote kwa hasira zote ninnavote hadi kidole kinaomba poo na hivi hawanilimit navote hata Mara Mia 8 per day
Keep voting
Safi sana..Mi pia nilikuaga navote juu juu tu lkn after ths devil campaign yakuwapigia Nigeria yan kila napochil Navote as long as nina bundle.. tupige kura 2.
halooooooo ,vote vote vote
Vote vote kwa sukari warembo Diamond platnum
Kumbe umethibitisha hapa huwa haupigi kura sasa mapovu yanayowatoka huwa ni ya nini?
Msanii mkubwa lazima awe na ratiba"
Sasa naomba mnijibu swali la msingi huyu msanii amnayehamasishana kumpigia kura ikija akashinda atakuwa anastahili au hastahili?
Atakua amestahili sasa unataka tuache nani atavote. TunaVote kwa ajili yao na nchi pia kuitangaza dat all
Sasa kama atakuwa amestahili kwa kura zenu inakuwaje mwingine ameshinnda kwa kupigiwa kura na mashabiki nyinyi mnatokwa na mapovu huoni hii ni double standard?
Mi sina shida na ushindi wa kiba. No comment mjadala ushafungwa wala ckumind kiba kuchukua tuzo hizo japo ckupenda moja 2 ya mtumbuizaji bora. Sisi tupo kwenye mtv now ndo tunachofocus
Aliyefunga mjadala ni nani? Mtu anawezaje kuwa nomineted. halafu hasistahili tuzo akishinda? Huoni unsjichanganya?
Sasa kama atakuwa amestahili kwa kura zenu inakuwaje mwingine ameshinnda kwa kupigiwa kura na mashabiki nyinyi mnatokwa na mapovu huoni hii ni double standard?
Matola nakusoma kwa ukaribu kabsa hapa, umewabananisha vilivyo team Kitorondo!
Naona majibu yanagongana tu!
Upo vzr mkuu!