Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

ali kiba mwenyewe anampigia kura diamond, sababu nyumbani kwanza.
 
Jaman tumpigieni kura kijana kwa umoja wetu

usisubiri mpaka afe ndipo uanze kumkumbuka na kutafuta mtu wa kutuwakilisha kmataifa

tuungane kwa umoja wetu kwa ajili ya kijana wetu...acheni team jaman
 
Attachments

  • 1434625470591.jpg
    70.9 KB · Views: 134
Jaman tumpigieni kura kijana kwa umoja wetu

usisubiri mpaka afe ndipo uanze kumkumbuka na kutafuta mtu wa kutuwakilisha kmataifa

tuungane kwa umoja wetu kwa ajili ya kijana wetu...acheni team jaman

Asante kwa kutuletea link kumbe Davido naye yupo? Mimi nimempigia Davido ndiye anayenivutia muziki wake.
 
Siku zote wabongo wana wivu'automatic"nilisema hapa jf baada ya ktma 2015, mbongo akifanikiwa watu roho sinawachoma sijui nini sababu,sishangai niliona kwa marehemu Kanumba haya leo kaondoka na bongo movie kwishnei....wale walokua washabiki wa Ray nao hawaonekani..Big up Diamond wakati ni wako wakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…