Diamond, Vanessa mdee, Shetta, Joh makini, Alikiba, Richi mavoko na AY

Hatari sana Diamond anafan Base kubwa sana africa hivi sasa na hizi collable zitazidi kumuweka juu. Anajulikana West, South, East and Central africa kiujumla ni juhudi kubwa sana.

Na msanii yeyote akitaka apate fans East Africa wa kwanza kumuangalia ni Diamond, hahhahahha watataka tu hata kama sio leo. Mie huwa nakaa pembeni nacheeeeeka!
 
Mzee hizi taarifa iwapo ungeweza kuzibadili kuwa pesa hata wewe ungejenga nyumba sio mbili hata nane.

Vp mbna unatumia nguvu nyng sana ww,au n X wa diamond na ww?team zenu za kijinga najua saiv mnajuta sana,huwez kuzuia jua
 
Hayo yote wanayajua ndo mana wanajitahidi kwa kila hali awe wa levo za jamaa yao na wao wanayajua vizuri sana mafanikio ya Diamond usiwaone wanabisha ni ktk kuwapekesha wale wasiojua malengo yao
 
watashindana lakini hawatashindaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…