binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hatari sana Diamond anafan Base kubwa sana africa hivi sasa na hizi collable zitazidi kumuweka juu. Anajulikana West, South, East and Central africa kiujumla ni juhudi kubwa sana.
Na msanii yeyote akitaka apate fans East Africa wa kwanza kumuangalia ni Diamond, hahhahahha watataka tu hata kama sio leo. Mie huwa nakaa pembeni nacheeeeeka!