Diamond, Vanessa mdee, Shetta, Joh makini, Alikiba, Richi mavoko na AY

acha utoto, watu wanajadili mambo ya msingi na unaleta utoto hata pale unapoeleweshwa! kua bwana mdogo

Mambo ya msingi????? Pesa za Dimond, show za AY na sijui nani ni mambo ya msingi? Hapo sasa nimewaelewa vizuri hapa itakuwa nilikosea njia. Nisameheni wakuu ngoja nikatafute mambo ya kipuuzi huko kwenye majukwaa yanayojadili afya , foreign policy, education, international news na ujinga mwingine. Nyie endeleeni kujadili mambo ya msingi hapa hasa Lambo ya Dimond pamoja nguvu ya team wema.
 
ulitaka tujadili ya mmeo alikibaka
 
Dah, Mungu saidia vijana. Taifa laangamia.

Wewe kama hujidungi basi unakula sana bangi.

Em soma unayoandika.
 
Hahahahaaa mkuu kuna watu hawalijui hilo...basi tu ushabiki umewajaa hata kujua hawataki.

na wewe unasupport..... Hivi nyie watu hamjui umuhimu wa team work... angalia walioendelea wote kama wanafanya kazi kibinafsi.... msiwe kama wahindi wa kkoo chips miaka yote na hela anapokea mwenyewe masaa 24 yupo pale kuogopa kuibiwa.... we gotta be smart hata kanumba aliexcel in movies coz he was doing things in a very smart. way I doubt if he was alone... no offense
 
Dah, Mungu saidia vijana. Taifa laangamia.

Wewe kama hujidungi basi unakula sana bangi.

Em soma unayoandika.

Itakuwa kwa sababu sijui mambo ya msingi kama nyumba za madensa wa Daimond na collabo zake zote.
 
na wewe unasupport..... Hivi nyie watu hamjui umuhimu wa team work... angalia walioendelea wote kama wanafanya kazi kibinafsi.... msiwe kama wahindi wa kkoo chips miaka yote na hela anapokea mwenyewe masaa 24 yupo pale kuogopa kuibiwa.... we gotta be smart hata kanumba aliexcel in movies coz he was doing things in a very smart. way I doubt if he was alone... no offense

Nakumbuka wakati diamond anaanza kutembea na dancers waliongea saaaaana... Nashukuru walijifunza wanamuziki wameañza kutoa ajira ya kudumu kwa dancers..

Wakaja suala la mlinzi, leo wapo wenye walinzi shetta, kiba...

Sahivi ana videographer, photographer, stylist, na managers wanne watu wanaona ajabu duuuh... Na hapo bado ana agents toka nchi tofauti kwanini asiwe juu???

2010 wakati amechaguliwa na MTV mama awards category ya msanii anaechipukia, alibahatika kwenda na Uingereza kuna interview alifanya aliulizwa anajiona wapi miaka kadhaa badae (na hapo ana mwaka 1 kwenye game) alisema ""mziki wetu unakubalika nje lakini hatuweki nguvu ya kutosha kujitangaza, kwahiyo nitajitahidi kila njia kuiwakilisha nchi yangu""
 
Katika hiyo mil 60, ondoa milion 40 za kuwalipa waganga wake wa Ghana na yule wa Burkina Faso.
 
Nyota ya Diamond iko juu aisee hapana chezea, hapo mtoa mada kawataja wasanii wengi hadi king😉 kamtaja. Lakini anayejadiliwa kwa mazuri na kutolewa povu ni mmoja tuu.
 
Na kama hufahamu madancer wake wawili wana nyumba tayari....

ukitaka kufanikiwa wafanikishe na wenzako...

Yamoto band leo wanaingia tz kutoka south africa ambapo wameshoot video na godfather kwa gharama ya diamond.. yote hayo hayaji hivihivi ni mkwanja huo na usiniambie ni kitu kidogo sababu wasanii wengi wangekuwa wanaubavu huo

Atakujibu ni wauza unga! Hahaha waTz hawakosi majibu rafiki angu.
 
samahani mkuu umemwelewa kweli mdau alichouliza? sio hizi team za hapa jf ni team nzima inayounda jahazi modern taarab kama nimemwelewa mdau

Hajaelewa hata robo ya robo, soma tena jibu lake😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom