Diamond vs Ali Kiba: Tutaona Mengi

Diamond vs Ali Kiba: Tutaona Mengi

Kiba anapata promo aonekane yupo juu ili kumshusha mond, ni kama Kwa Kanumba na Ray tuliaminishwa ni washindan lakni Ray alikuw anatembelea huu ushindan kuonekana yupo juu lakin hamna kitu, ni kama kwa Kiba na Mondi, Mondi ni level zingne sio Level za Kiba, Kamkuta kiba kweny Game, kajituma, kakomaa kweli kweli na kampita,

By the way, Nyimbo Mpya ya Kiba ni nzuri lakin sio hit song. Yakawaida sana.

Moto Hauzimi ya Benson > Nyimbo ya Mofaya
Hii ngoma ya benson nilidhani labda naijua mwenyewe..kunywa soda,na ulipe mwenyewe..
 
Back
Top Bottom