Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,688
- 3,182
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!