Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!
Sasa wewe silesi moja umeanzaje kushba akati ukikaa juu ya mti ukicheki matairi yako unakuta joto kaliNi kweli. Naaamini sasa ule uchunguz upo sahihi katika kila wanne mmoja anaumwa yaani hadi huu. Uzi umekeaa kiuwehu. Lakini MTU. Na akili kshika SMRT phone Yake au wengibe wana PC na wengine kimchina still anatayp kupost konent
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!
Hahahahaaaa,nimecheka hapa kama changuYeah!!. Kwasababu Baada Ya Tukio la kupatwa kwa jua, Nikajikuta Napewa Red Card Wakati Ukweli Ni Kwamba Mimi Sio Nilie Sababisha Lile Tetemeko.
Hahahahaa Audi klip ya huyonmwehu nilikua NATO nitumie kama bad unayo maana nimeikumbuka sanaSasa wewe silesi moja umeanzaje kushba akati ukikaa juu ya mti ukicheki matairi yako unakuta joto kali
Afu ujielewi mara unafungua friji unakuta simba wanazingua
Alafu bahati mbaya nimehesabu comment nne kusupport hiyo research veto imetua kwakoNi kweli. Naaamini sasa ule uchunguz upo sahihi katika kila wanne mmoja anaumwa yaani hadi huu. Uzi umekeaa kiuwehu. Lakini MTU. Na akili kshika SMRT phone Yake au wengibe wana PC na wengine kimchina still anatayp kupost konent