DIAMOND Vs ALLY KIBA.

DIAMOND Vs ALLY KIBA.

Is this Jf[emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5]
 
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli. Naaamini sasa ule uchunguz upo sahihi katika kila wanne mmoja anaumwa yaani hadi huu. Uzi umekeaa kiuwehu. Lakini MTU. Na akili kshika SMRT phone Yake au wengibe wana PC na wengine kimchina still anatayp kupost konent
Sasa wewe silesi moja umeanzaje kushba akati ukikaa juu ya mti ukicheki matairi yako unakuta joto kali
Afu ujielewi mara unafungua friji unakuta simba wanazingua
 
.....ndio uamini sasaa....1/4. Utasema CCM wanapika takwimu kwelii....uuwii..
 
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!
 
Yeah!!. Kwasababu Baada Ya Tukio la kupatwa kwa jua, Nikajikuta Napewa Red Card Wakati Ukweli Ni Kwamba Mimi Sio Nilie Sababisha Lile Tetemeko.
Hahahahaaaa,nimecheka hapa kama changu
 
Sasa wewe silesi moja umeanzaje kushba akati ukikaa juu ya mti ukicheki matairi yako unakuta joto kali
Afu ujielewi mara unafungua friji unakuta simba wanazingua
Hahahahaa Audi klip ya huyonmwehu nilikua NATO nitumie kama bad unayo maana nimeikumbuka sana
 
Ni kweli. Naaamini sasa ule uchunguz upo sahihi katika kila wanne mmoja anaumwa yaani hadi huu. Uzi umekeaa kiuwehu. Lakini MTU. Na akili kshika SMRT phone Yake au wengibe wana PC na wengine kimchina still anatayp kupost konent
Alafu bahati mbaya nimehesabu comment nne kusupport hiyo research veto imetua kwako
 
Tetete naona kama nimeingia nyumbani kwa mateja.

Sasa mbona mna comment bila kushirikisha akili wakati mnafahamu fika Trump kashindwa kutafakari ujio wa JPM Kenya kusudi Dar inahamia Dodoma.
 
Dodoma makaomakuu ugali umeiva MO DEWJI ALIVYOTEKWA DAR DIAMOND PLATNUMZ NI BALAA singeli si mchezo ronaldo kasema
 
Back
Top Bottom