DIAMOND Vs ALLY KIBA.

Mkwaha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
1,688
Reaction score
3,182
Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma ndhuri Kanisani! Unaona bana, hata ile Ligi Kuu ya Uingeredha Siku hizi haina Mvuto hadi yule Hausigeli Mpya wa Nyumba ya Jirani akaunguza Mboga Kwa Sababu ya Kutongozwa na Baba yake na Mtoto Wa Mwenye Nyumba ambaye ndo Bosi wake na yule Hausigeli aliyefumaniwa akicheza Singeli!
 
Haya na nauli ulimutumia Mchungaji maana sokoni kulikuwa na Bunge hatahvyo kilinik cjapima miguu
Yeah!!. Kwasababu Baada Ya Tukio la kupatwa kwa jua, Nikajikuta Napewa Red Card Wakati Ukweli Ni Kwamba Mimi Sio Nilie Sababisha Lile Tetemeko.
 
Kwani ndo yeye sa mbona juzi sikumkuta ndo vile alienda kwa Dada ako kumuomba nauli ya trekta na baiskeli yake mbovu akarudi na mataili yake ya sofa na ndo akaleta ule utafiti wa 1/4 1 ni kichaa lakini mi sipo coz mleta mada ni katika wale watafiti vichaaa bibi ako akamsahau na kumtuma magufuri atunyime mikopo nae ndalichako mchoyoo si akakutana badru acha wachambane mpk wakaombana poo
 
Karibu Tunywe Chai Ya Ukwaju Kwasababu Ukienda Shambani Bila Kubeba Nyanya Huwezi Kupata Samaki.
 
Karibu Tunywe Chai Ya Ukwaju Kwasababu Ukienda Shambani Bila Kubeba Nyanya Huwezi Kupata Samaki.
kupatwa kwa nchi tetemeko la mikopo bombardier vipangaboi mataili ya cherehani ndo maana sunrays zikareflect pale kwenze triangle this is question answer
 
Kwa ushujaa padre anagonga mvinyo kanisani katikat ya wanafunzi mwalimu anachapia wakati mlevi akibishana kauli za magufuri bar
 
Ni kweli. Naaamini sasa ule uchunguz upo sahihi katika kila wanne mmoja anaumwa yaani hadi huu. Uzi umekeaa kiuwehu. Lakini MTU. Na akili kshika SMRT phone Yake au wengibe wana PC na wengine kimchina still anatayp kupost konent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…