Diamond vs Harmonize: What goes around...

Wewe umekuja mjini lini ?? Diamond kaibuliwa na Fiesta za mwaka 2005-6-7 Viwanja vya Posta kijitonyama.


Mfuate Atakueleza...
 
Hujui unachokiongea aisee nakuonea huruma
 
Harmonise usingeondoka Mtwara kuja Dar tusinge kufahamu. That was a risk taking journey. Kuna interview yako moja siku za kwanza unajiunga na WCB ukisema uliuza chai kwenye mgahawa Kariakoo lakini ndoto yako ilikuwa kukutana na Diamond. Mungu alikufanyia wepesi hili likawezekana.

Unaondoka WCB this is another risk taking journey. Kaka mbuga kijana.
 
Hujui unachokiongea aisee nakuonea huruma
POle sana! Endelea kuamini kwamba Diamond kafika pale kwa ajili ya Ruge! Kwa sababu ni Ruge ndie alilipa pesa iliyomfanya Diamond kutoa first album ambayo ndani yake kulikuwa na hits kadhaa including Mbagala!!! Au labda mnataka kutuambia Papa Misifa alikuwa anapewa pesa na Ruge kwa ajili ya kumtengeneza Diamond!!!

Ajabu ya watu kama nyie wala hamtaki kujiuliza, ikiwa watu kama akina Barnaba, Mwasity, Rachel, Amin; au akina Jide na Ray C enzi za Smooth Vibes, na wengine wengi wala haikuwahi kuwa siri wao kuwa chini ya Ruge; kwanini iwe siri suala la Diamond hadi alazimike kum-manage kwa mlango wa nyuma?!!!
 
This is Business,Utashangaa kinachofanyika ni mikakati ya WCB kutengeneza Empire nyingine,Mwanzoni ilikua Alikiba vs Diamond baada ya kuona imepoteza mvuto kwani Alikiba hayuko kiushindan tena naona kapoa tuu nothing new,saiv Diamond Vs harmonize.
 
Wewe umekuja mjini lini ?? Diamond kaibuliwa na Fiesta za mwaka 2005-6-7 Viwanja vya Posta kijitonyama.


Mfuate Atakueleza...
NIkuulize wewe umekuja lini mjini manake mimi sijaja mjini, bali nipo mjini since Day 1! Aidha, nikuulie wewe umekuja lini mjini manake wala hufahamu hata unachokiongea-!!Sasa ni Fiesta ipi unayozungumzia?! Ya mwaka 2005, ya mwaka 2006, au ya mwaka 2007?! Back in the days ni wangapi walikuwa wanatumia matamasha kuchana, na hivi leo wako wapi?! Au umejulia muziki ukubwani tukuambie tulikuwa tunafanya nini Enzi hizo?! Btw, ingekuwa Fiesta ndie imemtoa, ange-hustle miaka yote hiyo hadi 2009 alivyokuja kutoa Kaniambie na ku-hit?

Man, tofautisha na ushikaji wa mic uliokuwa unafanyika zamani kwenye matamasha mbalimbali, na Fiesta zilizowatoa akina Young Killer!!! Na endelea kudanganya wenzako wasiolijua game kama unavyowadanganya eti Harmonize alijaza uwanja wa South Sudan!!
 
Mtu alishakufa bwana .

Leave him
 
Mtu alishakufa bwana .

Leave him
Ni wangapi wamejadalili Ruge humu ndugu?! Kwa status yake, there's no way ataacha kujadiliwa eti kisa amekufa; na ndio maana hata akina Mwalimu Nyerere wamekufa zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini bado hadi kesho anajadiliwa!!
 
Ni wangapi wamejadalili Ruge humu ndugu?! Kwa status yake, there's no way ataacha kujadiliwa eti kisa amekufa; na ndio maana hata akina Mwalimu Nyerere wamekufa zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini bado hadi kesho anajadiliwa!!
Msimseme Kwa mabaya mtu alieshakufa
 
This is Business,Utashangaa kinachofanyika ni mikakati ya WCB kutengeneza Empire nyingine,Mwanzoni ilikua Alikiba vs Diamond baada ya kuona imepoteza mvuto kwani Alikiba hayuko kiushindan tena naona kapoa tuu nothing new,saiv Diamond Vs harmonize.
Ila Alikiba amelala kinoma, anafanya muziki kama hobby
 
Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe

Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote .. Upo Upo tu.. Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi .. Wasanii undergrounds waliopewa nafasi ya kuimba kabla ya show kwanza ni Diamond na Sheta .. Sasa wewe endelea kusema umezaliwa dar wenziio wakina Hrmonize wamezaliwa Chitoholi wanakuja mjini wanatusua majumba na magari halafu nyie wazawa mnaendelea kubanana Tandale na Mbagala kwenye uchafu na dhiki...



Unaongea tu hujui unachoongea .. Harmonize akiamua kuongea anavyonyonya pale WCB mpuuzi kama wewe utakuja hapa kubisha .. Hivi unajua Diamond alikopa hela kwa harmonize akimwambia kuwa atamtafutia Shares kadhaa Kwenye Wa safi media ??? Unajua mwisho wake ni nini ?? Unajua Diamond amekuwa akijibu nini Harmonize akiulizia hela zake ?? Unajua hizo hela so chini ya million 200?? .. Unajua hizo shares zikoje kwa sasa kwa upande Wa harmo? .. Tukisema tuweke mambo mengine hapa mtabaki kusema sisi ni haters Wa diamond ...



Tulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..


Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..
 
Nasikia Diamond Kanyimwa Visa ya kwenda UK hivyo matamasha yote ameahirisha

Harmonize kapata Visa ya UK na atakuwepo London
jamaa ndio maana Jana alikuwa na furaha sana uyo harmonize
 
Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe
We mpumbavu danganya wapumbavu wenzako!! Show ya South Sudan haikuwa ya Harmonize, bali yeye alikuwa ni mmoja tu kati ya watumbuizaji wengine including Chameleon na Weasley!! Jose Chameleon huyu hapa akiwasili S. Sudan:-

Yaani unachosema wewe ni sawa na leo hii aibuke mpumbavu wa aina yako halafu aseme Diamond alijaza watu kwenye show ya One Africa Fest! Hivi una akili kweli wewe pamoja na kupenda kutukana wenzako?!
Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote... Upo Upo tu..
Angalia ulivyo mpumbavu!! Huyo Harmonize mwenyewe unayemuona kama Mungu Mtu kazaliwa kwa walima mihogo!! Hivi una akili kweli wewe??! Na mara kwa mara hapa hata bila kuulizwa lazima useme kwamba upo Wasafi?! Ulivyo mpumbavu unasahau kwamba huyo Diamond mwenyewe katokea Tandale, Babu Tale Manzese, Sallam Morogoro, na Said Fella nipo nae kitambo tangia enzi za Rungwe Highway!!!
Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi ..
Angalia unavyothibitisha ujinga wako!! Mwaka 2015 Diamond alikuwa underground?!! All in all, kupata show ya Fiesta kama underground ndo kwamba ametolewa na Ruge?! We jamaa lofa sijapata kuona!!
Kwa taarifa yako hata aliyemtoa huyo Mungu wako Harmonize nae ni mtu wa Tandale!!!
We lazima utakuwa mke mwenza wa Sarah, manake unavyojifanya kumfahamu Harmonize unamzidi hata Sarah mwenyewe. Halafu ona ulivyo Pimbi! Upande mmoja unasema Harmonize ananyonywa kishenzi halafu hapo hapo unatuambia jamaa ana mihela kishenzi hadi anafikia kumkopesha mnyonyaji wake Sh. 200M wakati Harmo mwenyewe kaanza muziki juzi tu hapa!! Au hizo 200M alizofikia kumkopesha Mnyonyaji wake zimetokana na biashara kuuza chai Kariakoo?!
Tulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..
Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..
Sio tu nimezaliwa dar bali pia naifahamu game tangia kitambo kabla hata huyo Harmonize mwenyewe haijui hata Mtwara let alone Dar!! NIpo kwenye haya mambo hata kabla huyo Diamond mwenyewe hajatengeneza hata single moja!! Tafuta wapori pori wenzako ndo uwaletee hizo story ambazo huwezi kujenga hoja hadi utukane na ulivyo pimbi, ukidhani matusi yanauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…