Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Expenses binafsi za boss hazihusiani na ofisi.Upo sahihi angalia spending ya boss ilivyo kubwa sana. Hata kama ana dili nyingi sana kuwazidi watoto wake but angejaribu kubalance ratio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Expenses binafsi za boss hazihusiani na ofisi.Upo sahihi angalia spending ya boss ilivyo kubwa sana. Hata kama ana dili nyingi sana kuwazidi watoto wake but angejaribu kubalance ratio.
Wewe umekuja mjini lini ?? Diamond kaibuliwa na Fiesta za mwaka 2005-6-7 Viwanja vya Posta kijitonyama.Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!
Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!
Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!
Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!
Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!
Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!
Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
Hujui unachokiongea aisee nakuonea hurumaYaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!
Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!
Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!
Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!
Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!
Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!
Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lohRaha iliyoko ni kwamba tunawajadili watoto wenye fedha zao tayari
POle sana! Endelea kuamini kwamba Diamond kafika pale kwa ajili ya Ruge! Kwa sababu ni Ruge ndie alilipa pesa iliyomfanya Diamond kutoa first album ambayo ndani yake kulikuwa na hits kadhaa including Mbagala!!! Au labda mnataka kutuambia Papa Misifa alikuwa anapewa pesa na Ruge kwa ajili ya kumtengeneza Diamond!!!Hujui unachokiongea aisee nakuonea huruma
NIkuulize wewe umekuja lini mjini manake mimi sijaja mjini, bali nipo mjini since Day 1! Aidha, nikuulie wewe umekuja lini mjini manake wala hufahamu hata unachokiongea-!!Sasa ni Fiesta ipi unayozungumzia?! Ya mwaka 2005, ya mwaka 2006, au ya mwaka 2007?! Back in the days ni wangapi walikuwa wanatumia matamasha kuchana, na hivi leo wako wapi?! Au umejulia muziki ukubwani tukuambie tulikuwa tunafanya nini Enzi hizo?! Btw, ingekuwa Fiesta ndie imemtoa, ange-hustle miaka yote hiyo hadi 2009 alivyokuja kutoa Kaniambie na ku-hit?Wewe umekuja mjini lini ?? Diamond kaibuliwa na Fiesta za mwaka 2005-6-7 Viwanja vya Posta kijitonyama.
Mfuate Atakueleza...
Mtu alishakufa bwana .Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!
Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!
Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!
Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!
Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!
Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!
Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
Ni wangapi wamejadalili Ruge humu ndugu?! Kwa status yake, there's no way ataacha kujadiliwa eti kisa amekufa; na ndio maana hata akina Mwalimu Nyerere wamekufa zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini bado hadi kesho anajadiliwa!!Mtu alishakufa bwana .
Leave him
Msimseme Kwa mabaya mtu alieshakufaNi wangapi wamejadalili Ruge humu ndugu?! Kwa status yake, there's no way ataacha kujadiliwa eti kisa amekufa; na ndio maana hata akina Mwalimu Nyerere wamekufa zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini bado hadi kesho anajadiliwa!!
Ila Alikiba amelala kinoma, anafanya muziki kama hobbyThis is Business,Utashangaa kinachofanyika ni mikakati ya WCB kutengeneza Empire nyingine,Mwanzoni ilikua Alikiba vs Diamond baada ya kuona imepoteza mvuto kwani Alikiba hayuko kiushindan tena naona kapoa tuu nothing new,saiv Diamond Vs harmonize.
Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. weweNIkuulize wewe umekuja lini mjini manake mimi sijaja mjini, bali nipo mjini since Day 1! Aidha, nikuulie wewe umekuja lini mjini manake wala hufahamu hata unachokiongea-!!Sasa ni Fiesta ipi unayozungumzia?! Ya mwaka 2005, ya mwaka 2006, au ya mwaka 2007?! Back in the days ni wangapi walikuwa wanatumia matamasha kujitambulisha, na hivi leo wako wapi?! Ingekuwa Fiesta ndie imemfikisha hapo, ange-hustle miaka yote hiyo hadi 2009 alivyokuja kutoa Kaniambie na ku-hit?
Danganya wenzako wasiolijua game kama unavyowadanganya eti Harmonize alijaza uwanja wa South Sudan!!
hata diamond ananyumba yake chini ya mabig fish kina salaamKonde boy nilidhani.anaenda kuazisha nyumba yake. Kumbe ni chini ya mtu mwingine
waroge wafeRaha iliyoko ni kwamba tunawajadili watoto wenye fedha zao tayari
jamaa ndio maana Jana alikuwa na furaha sana uyo harmonizeNasikia Diamond Kanyimwa Visa ya kwenda UK hivyo matamasha yote ameahirisha
Harmonize kapata Visa ya UK na atakuwepo London
We mpumbavu danganya wapumbavu wenzako!! Show ya South Sudan haikuwa ya Harmonize, bali yeye alikuwa ni mmoja tu kati ya watumbuizaji wengine including Chameleon na Weasley!! Jose Chameleon huyu hapa akiwasili S. Sudan:-Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe
Angalia ulivyo mpumbavu!! Huyo Harmonize mwenyewe unayemuona kama Mungu Mtu kazaliwa kwa walima mihogo!! Hivi una akili kweli wewe??! Na mara kwa mara hapa hata bila kuulizwa lazima useme kwamba upo Wasafi?! Ulivyo mpumbavu unasahau kwamba huyo Diamond mwenyewe katokea Tandale, Babu Tale Manzese, Sallam Morogoro, na Said Fella nipo nae kitambo tangia enzi za Rungwe Highway!!!Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote... Upo Upo tu..
Angalia unavyothibitisha ujinga wako!! Mwaka 2015 Diamond alikuwa underground?!! All in all, kupata show ya Fiesta kama underground ndo kwamba ametolewa na Ruge?! We jamaa lofa sijapata kuona!!Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi ..
Kwa taarifa yako hata aliyemtoa huyo Mungu wako Harmonize nae ni mtu wa Tandale!!!Wasanii undergrounds waliopewa nafasi ya kuimba kabla ya show kwanza ni Diamond na Sheta .. Sasa wewe endelea kusema umezaliwa dar wenziio wakina Hrmonize wamezaliwa Chitoholi wanakuja mjini wanatusua majumba na magari halafu nyie wazawa mnaendelea kubanana Tandale na Mbagala kwenye uchafu na dhiki...
We lazima utakuwa mke mwenza wa Sarah, manake unavyojifanya kumfahamu Harmonize unamzidi hata Sarah mwenyewe. Halafu ona ulivyo Pimbi! Upande mmoja unasema Harmonize ananyonywa kishenzi halafu hapo hapo unatuambia jamaa ana mihela kishenzi hadi anafikia kumkopesha mnyonyaji wake Sh. 200M wakati Harmo mwenyewe kaanza muziki juzi tu hapa!! Au hizo 200M alizofikia kumkopesha Mnyonyaji wake zimetokana na biashara kuuza chai Kariakoo?!Unaongea tu hujui unachoongea .. Harmonize akiamua kuongea anavyonyonya pale WCB mpuuzi kama wewe utakuja hapa kubisha .. Hivi unajua Diamond alikopa hela kwa harmonize akimwambia kuwa atamtafutia Shares kadhaa Kwenye Wa safi media ??? Unajua mwisho wake ni nini ?? Unajua Diamond amekuwa akijibu nini Harmonize akiulizia hela zake ?? Unajua hizo hela so chini ya million 200?? .. Unajua hizo shares zikoje kwa sasa kwa upande Wa harmo? .. Tukisema tuweke mambo mengine hapa mtabaki kusema sisi ni haters Wa diamond ...
Sio tu nimezaliwa dar bali pia naifahamu game tangia kitambo kabla hata huyo Harmonize mwenyewe haijui hata Mtwara let alone Dar!! NIpo kwenye haya mambo hata kabla huyo Diamond mwenyewe hajatengeneza hata single moja!! Tafuta wapori pori wenzako ndo uwaletee hizo story ambazo huwezi kujenga hoja hadi utukane na ulivyo pimbi, ukidhani matusi yanauzwaTulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..
Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..