Diamond wa kipindi kileee

Kumbe mondi yeye na mabinti dam dam tokea enzi hizo!!
 
Acha uongo bhana.! Hizo tishirt ndo zimeingia sokoni karibuni., zimetoka mwaka jana hizo. Hiyo picha ni mtu anayefanana naye kwa mbaaali au watu wame-edit. Ila huyo siyo Diamond
Mkuu mbona nguo nyingi za zamani zinarudiwa? , mfano hivi vitenge maarufu Kama 'Makenzi' vilikuepo zamani vikarudi tena
 
Umezoea kupimwa oil kama wale nduguzo pale kwa Manyanya basi basha wako atataarifiwa!!
...teh teh teh...kumbe we choko la Manyanya.,basi ndo maana!...walewale kama baba kama mtoto
kamuulize vizuri babaako kilimkuta nini Club 84 hadi akaacha kuja Njata??
 
Pesa sabuni ya moyo,
hata hivyo dogo amefaiti sana;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…