The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Diamond kweli huyo?
Hata mimi nakataa kwamba huyo ni Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond kweli huyo?
Kwani unahitaji uone nini ili ujue kuwa wanapendana?
...acha ramli wewe kigagula!..jibu swali rahisi hilo!Hawezi kumpenda DOMO zaidi ya watoto wake aliowaacha Uganda!!! Huo ndio ukweli kama huamini shauri yako; time will tell!!
Kumbe ndo huyo.Hapana aliyemwimbia "nenda kamwambie"
Mkuu mbona nguo nyingi za zamani zinarudiwa? , mfano hivi vitenge maarufu Kama 'Makenzi' vilikuepo zamani vikarudi tenaAcha uongo bhana.! Hizo tishirt ndo zimeingia sokoni karibuni., zimetoka mwaka jana hizo. Hiyo picha ni mtu anayefanana naye kwa mbaaali au watu wame-edit. Ila huyo siyo Diamond
Kama rahisi si ungejibu wewe MGESE wahedi!! Kamwite baba yako GAGULA!!!acha ramli wewe kigagula!..jibu swali rahisi hilo
Ni kweli Mkuu.! Ila kwa hiyo tishirt hapana bhana., we fanya uchunguzi utagundua hilo.Mkuu mbona nguo nyingi za zamani zinarudiwa? , mfano hivi vitenge maarufu Kama 'Makenzi' vilikuepo zamani vikarudi tena
Acha ukali basi, wewe kama unalilia waachane ili iweje, kama sio unaitamani nafasi ya Zari ??Nenda kazibe wewe ****** mzee!!!!
...mashaAllah!.,kumbe wataka jibiwa?ntunuku tu hiyo asilimali nipime oil kwanza!Kama rahisi si ungejibu wewe MGESE wahedi!! Kamwite baba yako GAGULA!!!
mashaAllah!.,kumbe wataka jibiwa?ntunuku tu hiyo asilimali nipime oil kwanza!
...teh teh teh...kumbe we choko la Manyanya.,basi ndo maana!...walewale kama baba kama mtotoUmezoea kupimwa oil kama wale nduguzo pale kwa Manyanya basi basha wako atataarifiwa!!
Hahahahaha watu buanaNa huyo demu wake alimtosaa?
Mkuu we mbishi hata ukiangalia yule Wa scul bash na huyo ni tofautiHuyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu..
Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza - TZA_MillardAyo
Hata ukiangalia picha hiyo ya diamond utagundua kuwa ni ya muda sio ya kisasaHuyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu..
Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza - TZA_MillardAyo