Diamond wa kipindi kileee

Diamond wa kipindi kileee

4ca5a04831becfb35c0eac007de1106d.jpg
Katika hali hii zari au wema wangempenda??
 
Duh!!! Mbona kama domo lilikuwa refu sana au wamelifanyia editing kwenye hiyo picha🙂
 
pesaa pesaaaaa pesaaaaaaaaa pesa ni sabuni ya ROHO na mwenyeeee pesa mwenye pesaaaa sio mwenziooooo !
 
Katika hali hii zari au wema wangempenda??
Dogo amepiga hatua saana, mpaka analala na watoto classic kama Wema na Zari. Najua katika hali kama hiyo sio Zari au Wema wangethubutu kulala kitandanai na Diamond. Ingekuwa 'Zali la Mentali'
 
Dogo amepiga hatua saana, mpaka analala na watoto classic kama Wema na Zari. Najua katika hali kama hiyo sio Zari au Wema wangethubutu kulala kitandanai na Diamond. Ingekuwa 'Zali la Mentali'
Huo ndo ukweli Ana kila sababu ya kujivunia
 
Back
Top Bottom