Diamond wa kipindi kileee

Diamond wa kipindi kileee

Anaona hapo alipiga picha na Ray C (kushoto) na Lady JayDee (kulia), ni longtime kitambo sana hiyo mitaa ya Vingunguti kwenye show.
 
4ca5a04831becfb35c0eac007de1106d.jpg
Ya kale Ni dhahabu
 
Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
 
Duuuh kweli pesa ina nafasi yake katika muonekano
 
Back
Top Bottom