Diamond wachukue hawa watangazaji Michael Noel na Gwamaka Franci

Diamond wachukue hawa watangazaji Michael Noel na Gwamaka Franci

Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable
Kuskika nchi nzima sio kuskilizwa nchi nzima..alaf dar sindo Tanzania yenyew [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli au ni mitandao tu na udaku
FB_IMG_1581764819798.jpeg
Screenshot_20200215-134108_YouTube.jpeg
 
Hawa jamaa hata kiswahili ni shida kwao, wanabananga maneno na ile kansa ya taifa ya L na R.

Nimekuwa nawasikiliza mara kadhaa haswa ninapokuwa kwenye chimbo ambazo redio nyingi hazifiki.

Kuna na mwingine anaitwa Maregesi kama sikosei, wanajiitaga 'jopo'..wanafurahisha sana ila wabaki RFA.
 
Yap yule anaitwa Malegesi Nyamaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable
Haha wapi sio kweli , mtangazaji anaangalia masilahi yake ya mfukoni na sio redio kusikika nchi nzima
 
Halafu wakishaenda huku RFA tubaki na nani?
Hata RFA inastahili kuwa na watangazaji wazuri, isitoshe ni radio ambayo imetoa watangazaji wengi wazuri wa vipindi mbali mbali ambao wapo kwenye station kubwa kubwa tu ila kwa sasa mtuache, mishahara tunalipwa😅😅😅
 
Back
Top Bottom