Diamond was right, Zari is desperate..

Diamond was right, Zari is desperate..

Tatizo lenu hampendi mtu aseme ukweli mimi nikiona harusi ndio nitaamini halafu mbona na domo kutwa kumuongelea zari kwani kuna ubaya kwa watu walio zaa pamoja hawa hata mfanyaje wataongea tu ipo siku labda watoto wapotee.
Ni lini Diamond alianza kumpiga vitofa Zari kama sio baada ya Zari kutangaza kwamba Mond katelekeza watoto wakati Ni Zari mwenyewe ndie alizuia hadi (Zari) akafikia kum-block (Mond) kwenye Instagram accounts za watoto! Yaani ugomvi ni wao watu wazima lakini Zari anakuja kum-block Mond kwenye akaunti za watoto!! Ungekuwa wewe ungekaa kimya?! Au ulitaka akae kimya ili muendelee kuvumisha uzushi kwamba Diamond katelekeza watoto?
 
Mzee baba umemaliza Kila kitu
 
Back
Top Bottom