sasa biashara bila ushindani si upuuzi huo?alitakiwa kusema nimekuja kuipiga chini clouds, east africa na efm, na kuhakikisha wasafi ni chombo kinachokuwa na kuenea duniani, tena nawaambia washindani wakae macho soko la hapa ndani lazima nilichukue, hata investors wanaweza kuongeza mtaji