Diamond: Waziri wa nishati aliniibia demu wangu

Mond shukuru Mungu huyo Waziri alikusaidia ukajua kuwa ulikua unakula bonda
 
Cha mtu huliwa na mtu...chuma huliwa na kutu.
 
Duh,mkuu kweli we ni mbogo,na umekuwa mbogo.
 
Yan maswala ya uyo mtu huwa sitaki hata kuyasikia
 
Hii comedy hii, maana nimecheka.
 
Hahaha hivi huyu mzee bado anaenda Coco Beach na Escalade lake ? Maana kabla Jk hajampa uwaziri alikuwa hakosekani Coco beach ,anapenda vitoto vidogo balaa
 
Hahaha hivi huyu mzee bado anaenda Coco Beach na Escalade lake ? Maana kabla Jk hajampa uwaziri alikuwa hakosekani Coco beach ,anapenda vitoto vidogo balaa
Demu wa Diamond aliyechukuliwa na waziri wa ni-shirt na ma-religion ni nani?
 
Mi naona njegere sijui choroko,wekeni majina kamili tuelewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…