ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi kweli wewe ni star wetu.mimi nakubali kazi zako lakini sipendi pale unapoanza ku kopy majina mfano dangote,chibu ,bin laden,baba tifa,nk
Kwanini kwenye interview zako usijitambulishe kwa jina lako moja tu ambalo ndo brand yako.unaanzaga ushamba eti kujipachika majina ya watu wengine acha hizo buana..ni sawasawa na mimi nipate hela ghafla nianze kujiita john smith.