Diamond we star kujipa majina mengi ni utoto

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Na kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi kweli wewe ni star wetu.mimi nakubali kazi zako lakini sipendi pale unapoanza ku kopy majina mfano dangote,chibu ,bin laden,baba tifa,nk
Kwanini kwenye interview zako usijitambulishe kwa jina lako moja tu ambalo ndo brand yako.unaanzaga ushamba eti kujipachika majina ya watu wengine acha hizo buana..ni sawasawa na mimi nipate hela ghafla nianze kujiita john smith.
 
Mkuu hauwezi kupata helaa ondoa akilini mwako hilo swala kabisa, hilo hilo jina la ndege JOHN litakufaa maisha yako yote.
Huwezi kujua man siku zinabadilika kama upepo.ndege john ni taasisi kubwa miaka ijayo 6 au 7.niamini mimi sitaleta uzungu
 
Mkuu hujui km mara nyingi kitu kizuri huwa kina majina mengi..mfano "k" inamajina karibu mianane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Kati ya k na hela kipi kina majina mengi?i mean kipi kizuri?
 
Sidhani kama mond Ana majina mengi kama Mr blue mbali na hilo ni byser,untouchable, kiss to the ladies, babylone bizzy etc.hata Yule jamaa wa Kenya Prezzo,ambassador,CMB,Rapcellency etc
 
Mwambie na mr. President Pia, mara John, mara JPM, mara Magu, mara Tingatinga, mara Ngosha, mara Mbili haikai tatu haikai nk.
 
Sidhani kama mond Ana majina mengi kama Mr blue mbali na hilo ni byser,untouchable, kiss to the ladies, babylone bizzy etc.hata Yule jamaa wa Kenya Prezzo,ambassador,CMB,Rapcellency etc
Basi buana umenishinda tufanye hio hali kumbe ni kawaida kwa mastar.enhe nimekumbuka mwingine niki mbish,mara malcom,mara unju,mara playboy,mara asee niki ndo ya kuzid
 
Na kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi kweli wewe ni star wetu.mimi nakubali kazi zako lakini sipendi pale unapoanza ku kopy majina mfano dangote,chibu ,bin laden,baba tifa,nk
Kwanini kwenye interview zako usijitambulishe kwa jina lako moja tu ambalo ndo brand yako.unaanzaga ushamba eti kujipachika majina ya watu wengine acha hizo buana..ni sawasawa na mimi nipate hela ghafla nianze kujiita john smith.
Ushamba mzigo... Basi unajiona unajua saaaanaa
 
Back
Top Bottom