ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
HahahaaaaaaaMkuu hauwezi kupata helaa ondoa akilini mwako hilo swala kabisa, hilo hilo jina la ndege JOHN litakufaa maisha yako yote.
Huwezi kujua man siku zinabadilika kama upepo.ndege john ni taasisi kubwa miaka ijayo 6 au 7.niamini mimi sitaleta uzunguMkuu hauwezi kupata helaa ondoa akilini mwako hilo swala kabisa, hilo hilo jina la ndege JOHN litakufaa maisha yako yote.
Kati ya k na hela kipi kina majina mengi?i mean kipi kizuri?Mkuu hujui km mara nyingi kitu kizuri huwa kina majina mengi..mfano "k" inamajina karibu mianane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Zote nzuri kk..k ni habari ya mjini..ila bila hela hupati k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kati ya k na hela kipi kina majina mengi?i mean kipi kizuri?
Mkuu hauwezi kupata helaa ondoa akilini mwako hilo swala kabisa, hilo hilo jina la ndege JOHN litakufaa maisha yako yote.
Basi buana umenishinda tufanye hio hali kumbe ni kawaida kwa mastar.enhe nimekumbuka mwingine niki mbish,mara malcom,mara unju,mara playboy,mara asee niki ndo ya kuzidSidhani kama mond Ana majina mengi kama Mr blue mbali na hilo ni byser,untouchable, kiss to the ladies, babylone bizzy etc.hata Yule jamaa wa Kenya Prezzo,ambassador,CMB,Rapcellency etc
Mtoto wetu wa mtaani taNdale sasa katoboa tunajivunia acha tumjadili tu maana hakuna namnaKijana wa watu anaandwamwa sana
Daaaah jf kibokoMkuu hauwezi kupata helaa ondoa akilini mwako hilo swala kabisa, hilo hilo jina la ndege JOHN litakufaa maisha yako yote.
Ushamba mzigo... Basi unajiona unajua saaaanaaNa kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi kweli wewe ni star wetu.mimi nakubali kazi zako lakini sipendi pale unapoanza ku kopy majina mfano dangote,chibu ,bin laden,baba tifa,nk
Kwanini kwenye interview zako usijitambulishe kwa jina lako moja tu ambalo ndo brand yako.unaanzaga ushamba eti kujipachika majina ya watu wengine acha hizo buana..ni sawasawa na mimi nipate hela ghafla nianze kujiita john smith.