mushkhan moshi
Member
- Oct 4, 2016
- 49
- 81
Wanacopy akina Puff Daddy,nini Diamond!!!! inabidi ujitutumue ili uende na wakati fungua ubongo wako-watu wanatafuta soko far and beyond- jaribu kufikiria nje ya boxTakribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo fire na Eneka ame copy
Fire ime kopiwa katika wimbo wa jason Deuro ft nikk minaj
Eneka ka copy na kupasete wimbo wa davido
Hivi hili jini lita muisha
lini
Leo nikitoa video nacheza kwenye swimming pool au naendesha gari au baiskeli au pikipiki nitakua nimeopy?Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya
Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya
Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ebu fafanua mana nimerudia ianngalia zaid ya Mara kumi sijaona amecopy nin hyo video ya davido.. Afu kama hupendi anavyocopy achana nae mana hawez badilika mana ushasema amecopy fire na nyingne nyingi.. Kwann usimteme tu anakupotezea mudaUkiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya
Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Sio ya davido mkuu mleta Uzi kakosea ila jamaa amecopy video ya r2bees ft wizkid; tonightEbu fafanua mana nimerudia ianngalia zaid ya Mara kumi sijaona amecopy nin hyo video ya davido.. Afu kama hupendi anavyocopy achana nae mana hawez badilika mana ushasema amecopy fire na nyingne nyingi.. Kwann usimteme tu anakupotezea muda
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Dah! Joseverest umenichekesha sanaDiamond Diamond..ndio anapotea kimuziki au? mbona thread za kumponda zinaongezeka
Najiuliza nakosa jibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jina la music video ya Davido tafadhaliTakribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo fire na Eneka ame copy
Fire ime kopiwa katika wimbo wa jason Deuro ft nikk minaj
Eneka ka copy na kupasete wimbo wa davido
Hivi hili jini lita muisha
lini
Tumejadili hili swala hapa janvini..kwakweli ni kukosa ubunifu