Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

Joined
Oct 4, 2016
Posts
49
Reaction score
81
Takribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo fire na Eneka ame copy

Fire ime kopiwa katika wimbo wa jason Deuro ft nikk minaj
Eneka ka copy na kupasete wimbo wa davido

Hivi hili jini lita muisha
lini

Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya

Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Wanacopy akina Puff Daddy,nini Diamond!!!! inabidi ujitutumue ili uende na wakati fungua ubongo wako-watu wanatafuta soko far and beyond- jaribu kufikiria nje ya box
 
Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya

Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Leo nikitoa video nacheza kwenye swimming pool au naendesha gari au baiskeli au pikipiki nitakua nimeopy?

Video gani ina idea mpya ambayo haijawahi kuonekana awali?

Hao aliowacopy mbona hawajamfungulia case of copyright infringements?
 
Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya

Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app

Watanzania bwana, kazi kukatisha tamaa wenzao!!! - Na wewe anzisha vya kwako tuone utafikia wapi kimaendeleo, mtu hata uwezo wa kipiga zumari huna halafu unakuwa na ubavu wa kumunanga Nassib wa watu kwa maneno ya kejeri.
 
Ukiangalia hiyo video hapo juu...kwa ambao tushaziona hizo nyimbo ni afadhali location angefanyia hata chumbani kwake maana hamna jipya

Mambo ni yale yale sisi tunataka ubunifu mpya...huo ndio uwezo wa kupaswa kusifiwa...inabidi abadilike

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ebu fafanua mana nimerudia ianngalia zaid ya Mara kumi sijaona amecopy nin hyo video ya davido.. Afu kama hupendi anavyocopy achana nae mana hawez badilika mana ushasema amecopy fire na nyingne nyingi.. Kwann usimteme tu anakupotezea muda

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sio ya davido mkuu mleta Uzi kakosea ila jamaa amecopy video ya r2bees ft wizkid; tonight
 
Diamond Diamond..ndio anapotea kimuziki au? mbona thread za kumponda zinaongezeka
 
Takribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo fire na Eneka ame copy

Fire ime kopiwa katika wimbo wa jason Deuro ft nikk minaj
Eneka ka copy na kupasete wimbo wa davido

Hivi hili jini lita muisha
lini

Jina la music video ya Davido tafadhali
 
Kiukweli sijawahi soma popote kuhusu hizi nyimbo mbili
Ya Davido hii inayotamba na ya Diamond hii 'eneka'

naona kama beat ni ile ile au imefanana sana

kuna yeyote anaejua sababu?
producer ni mmoja?
au kuna makubaliano labda?

Au ni mimi tu peke yangu nazifananisha?
 
Back
Top Bottom