Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

Kuna video ya wizkid X re2beez inaitwa tonight... itafute idea zinafanana.... beat ni kweli zinakaribiana ila hii eneka katengeneza Lazier sasa sijui Fall.


Ila tatizo linaweza lisiwe la Diamond tatizo ni Directory ya hizo nyimbo zote maana ni mtu mmoja... (Tesan).
 
Yule producer wake ana sample sana beat za kinaijeria ndio tabu
 
Reactions: Pep
Kuna video ya wizkid X re2beez inaitwa tonight... itafute idea zinafanana.... beat ni kweli zinakaribiana ila hii eneka katengeneza Lazier sasa sijui Fall.
ile nyimbo kacopy and paste sasa sijui ubunifu hamna au? Laizer naye kwa kusampo beats hajambo aongeze ubunifu
 
Hana washauri basi
kwanini asimlete TEKNO aje ampigie beat yake kali kama za Davido
Ni wazo zuri pia au aende studio za nigeria labda kama anataka kufanana na miondoko ya kinigeria
 
Diamond ameshindwa kusoma soko na kujua watu wanahitaji nini kwa sasa. Amepanic sana kuona wakina davido wamechange kidogo kutoka kwenye uimbaji na beats wanazotumia, mfn nyimbo za sasa hiv ametumia beat za taratibu sana za kuteka hisia tofauti na mwanzo mfano mzuri ni nyimbo ya fall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kutumia producer mmoja kwa kila wimbo kwa WCB nzima ... Huyo laizer kashachoka huku bado kuna watu wanaweza kumpigia beat nzuri

Beat ya Eneka ni sample ya Fall na hata maneno yaliyotumiwa ni ya naija..
Ila bado wimbo ni mzuri lakini diamond angetafuta utambulisho wake mwenyewe ili iwe rahisi kutambulika na hata kuitambulisha nchi vyema zaidi...

Naija wana utambulisho wao , south wana kwaito yao , Tz tuna bongo flava ...

Ngoja niendelee kusikiliza tunafanana by barnaba
 
Just enjoy the good music from D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…