Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata video...amecopy ....tatizo wanataka kutoa nyimbo kila wiki ubunifu utatoka wapi!
nawewe ingia studio acha umbea
Nae atulie sasa kama Yamoto.
Nae atulie sasa kama Yamoto.
Yule producer wake ana sample sana beat za kinaijeria ndio tabu
ile nyimbo kacopy and paste sasa sijui ubunifu hamna au? Laizer naye kwa kusampo beats hajambo aongeze ubunifuKuna video ya wizkid X re2beez inaitwa tonight... itafute idea zinafanana.... beat ni kweli zinakaribiana ila hii eneka katengeneza Lazier sasa sijui Fall.
Thread ni swali tu
Wala sio mimi nimesema nani ka copy
mimi nimesema kuna kufanana...
Ni wazo zuri pia au aende studio za nigeria labda kama anataka kufanana na miondoko ya kinigeriaHana washauri basi
kwanini asimlete TEKNO aje ampigie beat yake kali kama za Davido
Ila siku hizi watu hawaimbi wanafanya biashara. Biashara ndiyo target acha wafanye wanachoona kinawapa pesa ila mziki unakufaile nyimbo kacopy and paste sasa sijui ubunifu hamna au? Laizer naye kwa kusampo beats hajambo aongeze ubunifu
skuiz kila kitu kinafanana sema domo kahamisha kibongo bongo
Hao kina Davido walishaanza kumtazama Diamond kama msanii mkubwa kuzidi wao..
sasa kama kajishusha sana...
hapana video kakopi kwa mwingine kuna mtu kashatupia hapo juuVideo imefanana na ya Davido pia?wimbo huo huo?