Neno....Inaweza ikawa ulaya lakini bar ya kichina. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mi sio celebrity mkuu.....Sirbonge hongera kwako na kwa diamond kwa kutuwakilisha huko ulaya,japo ungetuambia na wewe unapeperusha bendera kwa njia ipi
Au unapeperusha bendera yetu na ngada!?🙂🙂 just kiddingMi sio celebrity mkuu.....
Mnh! Na wewe unachunguza...! Kama yupo nchi ya Wazungu na bado umeona maandishi ya Kichina basi labda yupo Chinatown!Mkuu mbona kama upo china vile.... Naona maandishi ya kichina china hapo chini
Usihofu, nitakukatia tiketi kisha nitakufikisha hadi kwenye basi liendalo huko pm kwa ujira mdogo tu!Sipajui mkuu nifahamishe huko pm nafikaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Usihofu, nitakukatia tiketi kisha nitakufikisha hadi kwenye basi liendalo huko pm kwa ujira mdogo tu!
Mnh! Sa' ndo akina nani hao?![emoji35] [emoji35] [emoji35]
Awe specific kutaja nchi, isije ikawa kaenda bondeni hapo kwa Zuma[emoji4]Siku hizi kumbe kutafuta kick ni rahisi sana!!.....unatafuta kick mkuu![emoji30] [emoji30] [emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Hongera kwa kwenda ulaya
upo wilaya gani?oops sorry kumbe ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]