Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeniwahi mkuuInaweza ikawa ulaya lakini bar ya kichina. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hata marekani kuna CHINA TOWN usipolelewa unaweza jua ni china so watu hawaelew tuWatu ambao hawakutoka utawajua tu,eti mtu anashangaa hotel za kichina kuonekana nchi za Ulaya!!!mleta uzi usimind huku watanzania wengi juzi wameambiwa wanafikiria kwa kutumia 1% so chukulia poa tu.
Safi sanaNiko kwny kijiwe kimoja kwny mojawapo ya nchi za ulaya, mara naona kitu Diamond Platinumz kinachezwa kwny screen na wazungu wanafurahia kweli kweli....hongera sana D...we kweli ni wa kimataifa....
View attachment 406164
hapo ni Ibiza spain kwenye mall moja ya kimataifa,pembeni mkono wa kushoto karibu na lango kuu kama unatoka mashariki kuna liquor store inamilikiwa na Enrique Iglesias ndo hapo,msalimie maid anaitwa Angela Ramos....Niko kwny kijiwe kimoja kwny mojawapo ya nchi za ulaya, mara naona kitu Diamond Platinumz kinachezwa kwny screen na wazungu wanafurahia kweli kweli....hongera sana D...we kweli ni wa kimataifa....
View attachment 406164
Dah... Hivi kuna tofauti ya China na ulaya kwenye picha za ndani ya baa?sio ulaya mkuu ni china hapo,uongo wa nini...