Diamond yuko juu, miziki yake mpaka huku inachezwa

Diamond yuko juu, miziki yake mpaka huku inachezwa

Unajua kuna wakati hatukosewi tunapoitwa manyani
 
Watu ambao hawakutoka utawajua tu,eti mtu anashangaa hotel za kichina kuonekana nchi za Ulaya!!!mleta uzi usimind huku watanzania wengi juzi wameambiwa wanafikiria kwa kutumia 1% so chukulia poa tu.
 
Watu ambao hawakutoka utawajua tu,eti mtu anashangaa hotel za kichina kuonekana nchi za Ulaya!!!mleta uzi usimind huku watanzania wengi juzi wameambiwa wanafikiria kwa kutumia 1% so chukulia poa tu.
hata marekani kuna CHINA TOWN usipolelewa unaweza jua ni china so watu hawaelew tu
 
Kama ni ulaya basi piga selfie ukiwa na Wazungu....
 
Niko kwny kijiwe kimoja kwny mojawapo ya nchi za ulaya, mara naona kitu Diamond Platinumz kinachezwa kwny screen na wazungu wanafurahia kweli kweli....hongera sana D...we kweli ni wa kimataifa....

View attachment 406164
hapo ni Ibiza spain kwenye mall moja ya kimataifa,pembeni mkono wa kushoto karibu na lango kuu kama unatoka mashariki kuna liquor store inamilikiwa na Enrique Iglesias ndo hapo,msalimie maid anaitwa Angela Ramos....
 
Ngoja na mimi ni-upload picha za ulaya.Nipo kwangu Gongolamboto mida hii!
 
Back
Top Bottom