Diamond yukoje jamani?!

Diamond yukoje jamani?!

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,258
Reaction score
2,842
Huyu ni msanii ambaye kwakweli ameiletea sifa nyingi sn Tz Na Africa kwa ujumla .

Lkn nyimbo zake hata hazina dakika tano najiuliza kuhusu kina Marijan Rajabu nyimbo zao zilikuaa ndefu Na bonge la ujumbe .
Nimejitahidi kumchukuia nimeshindwa kwa sasa cjui kama kuna mtu anamfuatilia Chibu nampenda mno baada ya kumchukia mno
 
Mkuu huo ni mfumo wa kizazi kipya.... Nyimbo zote za kisasa ni fupi (dkk 4-6 tu) kutokana na Soko la vijana siku hizi wapo mbioni mbioni sana!!
 
nadhani kuna mengi ya kuongelea lakini siyo hili!
Rate za nyimbo ni 3.3minutes mpaka 5.9minutes.
example: loyal chris brown time:4.3min, chop my money psquare 4.51min, loliwe zahara 4.36min, ali kiba chekecha 3.30min, diamond mdogomdogo 4.23min, r.kelly when woman love 5.07min, q chilla for you 4.01min
so me nadhani ni kawaida.
 
Mimi ninachoona ni kuwa Diamond ana nyota nzuri tu, kwani kwa mtazamo wangu nyimbo za Banana zipo kitaalum zaidi/ zinakidhi vigezo vya kuwa mziki, lakini cha ajabu havumi kiviiile.
 
Mimi ni padri tena mkatoliki mkuu naomba uniombe samahani
Wewe vipi kwa hiyo unataka kutuambia mapadri wa kanisa katoliki hawana mademu kabisa!!? Hebu futa hii kauli yako haraka kabla sijaomba mwangozo kwa Spika.
 
Wewe vipi kwa hiyo unataka kutuambia mapadri wa kanisa katoliki hawana mademu kabisa!!? Hebu futa hii kauli yako haraka kabla sijaomba mwangozo kwa Spika.
Mimi sina demu sasa kama unataka mjadala wa hilo fungua uzi wako nitakuja huko kama mtanzania wa kawaida sio kama padri ila kwa sasa huyo bhana aniombe samahani
 
Wimbo mkali toka ile original yake, Diamond kaongezea kitu umekuwa mkali zaidi. Ila kitu kimoja tu sijakiona kwenye video, sijaona hilo 'zigo' waliloliimba, nimeona vijizigo tu, inamaana AY alishindwa kutafuta mswahili aliyejaaliwa? Si angemuweka hata Masogange nae yuko south ili zigo lilete maana zaidi?!
 
Back
Top Bottom