Tehe tehe ni yule aliyekula huyo demu uliyenaye sasa.Diamond ndiyo nani?
Mkuu huo ni mfumo wa kizazi kipya.... Nyimbo zote za kisasa ni fupi (dkk 4-6 tu) kutokana na Soko la vijana siku hizi wapo mbioni mbioni sana!!Huyu ni msanii ambaye kwakweli ameiletea sifa nyingi sn Tz Na Africa kwa ujumla .
Lkn nyimbo zake hata hazina dakika tano najiuliza kuhusu kina Marijan Rajabu nyimbo zao zilikuaa ndefu Na bonge la ujumbe .
Nimejitahidi kumchukuia nimeshindwa kwa sasa cjui kama kuna mtu anamfuatilia Chibu nampenda mno baada ya kumchukia mno
Mimi ni padri tena mkatoliki mkuu naomba uniombe samahaniTehe tehe ni yule aliyekula huyo demu uliyenaye sasa.
Mume wa Zari? Hivi harusi yao ilikuwa lini vile?Anamuongelea
Diamond Platnumz aka Chibu aka Dangote aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.
Sheria inasema...Mume wa Zari? Hivi harusi yao ilikuwa lini vile?
Wewe vipi kwa hiyo unataka kutuambia mapadri wa kanisa katoliki hawana mademu kabisa!!? Hebu futa hii kauli yako haraka kabla sijaomba mwangozo kwa Spika.Mimi ni padri tena mkatoliki mkuu naomba uniombe samahani
Sheria ya wapi hiyo!? Kwani kwa Tanzania ili iwe ndoa ni lazima muishi pamoja miaka miwili nyumba moja na majirani wafikie hatua ya kuwatambua kama mke na mme, siyo mambo ya mtu na demu wake/mpenzi wake.Sheria inasema...
Mwanaume na mwanamke wakiishi miezi mitatu pamoja hao ni mke na mume
Mimi sina demu sasa kama unataka mjadala wa hilo fungua uzi wako nitakuja huko kama mtanzania wa kawaida sio kama padri ila kwa sasa huyo bhana aniombe samahaniWewe vipi kwa hiyo unataka kutuambia mapadri wa kanisa katoliki hawana mademu kabisa!!? Hebu futa hii kauli yako haraka kabla sijaomba mwangozo kwa Spika.
Basi mi nimeoa wengiSheria inasema...
Mwanaume na mwanamke wakiishi miezi mitatu pamoja hao ni mke na mume