GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Diamond ndiyo nani?
Mwacheni Kijana wetu msimuingize kwenye siasa wananchi asilimia 40 waliompigia kura Lowassa wataacha kumuunga mkono, mtaharibu biashara yakeMtunzi Mkuu Wa Swaga Iliyojizolea Sifa Kubwa Ya " HAPA KAZI TU! " Iliyotumiwa Kunakotukuka Na Mgombea Urais Wa CCM Sasa Rais Dr. MAGUFULI Na Inayoendelea Kuishi Hadi Sasa. Kama Utayasahau Yote Sema Tu Baba Tiffah Itatosha!
Ukitumia neno *Kama*.yuko kama Freemason nikijibu swali lako la msingi
Yule jamaa aliyemzidi babako elaDiamond ndiyo nani?
LOLMuzee ya dna
Diamond ndiyo nani?
Rudi shule, ni miaka miwili na kwa ushaidi wa majiraniSheria inasema...
Mwanaume na mwanamke wakiishi miezi mitatu pamoja hao ni mke na mume
Nilipie adaRudi shule, ni miaka miwili na kwa ushaidi wa majirani
Bure muheshimiwa labda nikutolee mchango wa uji uniform pamoja na mchango wa gari ya mwalimu mkuuNilipie ada
umevurgwa na nini? watu wanamzumzia diamond hayo mambo ya maugomvi yenu peleka kuleeeNchi haiongozwi kutoka kichwani, inaongozwa kwa mjibu Wa sheria na katiba.
Kwa hiyo swala la kulipa kodi siyo la hiari na wala halijaletwa na Magufuli lipo kisheria. Sasa Membe atuambie angekuwa rais yeye angeongoza kutoka kichwani mwake au kwa kufuata sheria za nchi??
Kumbuka kuna nchi ukikwepa kodi na ikagundulika Unanyongwa!!!
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuleana leana hivi.
Na ndio maana Watz wengi tulikuwa hatutaki rais Wa kuchukua fomu huku ameandama na Kundi la watu ,madhara yake ndio haya, hapa Membe ni lzm anatetea rafiki zake wameguswa..
Lkn Magufuli alishasema tokea mwanzo kuwa kutumbua jipu kuna maumivu, bahati mbaya halina dawa nyingine.
Membe acha tu augulie maumivu ya jipu ndio kupona kwake
Asante Mungu kwa kutuebushia mbali watu Wa aina hii kuwa viongozi wetu
OK yukojeYule jamaa aliyemzidi babako ela
Ukikaa na mwanamke/mwanaume kinyumba miezi mitatu na kuendelea tayari ni mkeo/mumeo kisheria.Mume wa Zari? Hivi harusi yao ilikuwa lini vile?