BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Yupo kama Mkwepa kodiOK yukoje
Hiyo sheria yenu ya wapi??Ukikaa na mwanamke/mwanaume kinyumba miezi mitatu na kuendelea tayari ni mkeo/mumeo kisheria.
So, mume wa Zari.
Hiyo ni sheria ya wapi? Huyo Diamond kwa mujibu wa dini yake ni kuwa anazini na huyo zari na ni dhambi kubwa hiyo,na huyo mtoto waliozaa ni mtoto wa nje ya ndoa,Sasa wewe hiyo sheria yako ni ya wapi?Ukikaa na mwanamke/mwanaume kinyumba miezi mitatu na kuendelea tayari ni mkeo/mumeo kisheria.
So, mume wa Zari.
Angekua anafuata dini asingeimba, ishia hapo! Bongo dini ni kwa ajili ya kupeana majina tu na utambulisho basi....hakuna dini.Hiyo ni sheria ya wapi? Huyo Diamond kwa mujibu wa dini yake ni kuwa anazini na huyo zari na ni dhambi kubwa hiyo,na huyo mtoto waliozaa ni mtoto wa nje ya ndoa,Sasa wewe hiyo sheria yako ni ya wapi?
Wewe ni kama nani wa kuniambia "Ishia hapo?" Nimejibu kwa mujibu wa Dini wewe unaongea kwa mujibu wa Serikali, kwahiyo huko kwenye hukumu ya Mungu serikali ndio itaenda kumuhukumu Diamond kuwa alioa ndoa halali? Au Mungu ndio atamuuliza huyo Diamond kwanini Ulizini nami nilikataza?Angekua anafuata dini asingeimba, ishia hapo! Bongo dini ni kwa ajili ya kupeana majina tu na utambulisho basi....hakuna dini.
Na kwa taarifa tu ndoa zote ni za serikali hahahahahha..... Mkishakubaliana kwa kufuata taratibu za mababu wa middle east, then mnahakikisha mnapata cheti ya serikali. Yaani cheti ni lazima, ni lazima serikali itambue ndoa hiyo no matter which way mmetumia kuweka makubaliano ya awali, final ni serikali Ina seal deal.
Sheria ya ndoa ya Tanzania ndio inayosema ukikaa na mwenza wako miezi mitatu na zaidi ni ndoa hiyo tayari.
Chillax bro, easy easy. Kwa mujibu wa dini........ Lakini dini yenyewe isiyofuatwa. Great[emoji2]Wewe ni kama nani wa kuniambia "Ishia hapo?" Nimejibu kwa mujibu wa Dini wewe unaongea kwa mujibu wa Serikali, kwahiyo huko kwenye hukumu ya Mungu serikali ndio itaenda kumuhukumu Diamond kuwa alioa ndoa halali? Au Mungu ndio atamuuliza huyo Diamond kwanini Ulizini nami nilikataza?
Hapo kwenye miezi 3 sio sahihi, presumption of marriage as per the Law of Marriage Act,ni miaka miwili. Yaani m.ke na m.ume wawe wameishi pamoja kama mume na mke,kwa kipindi cha miaka miwili(2)mfululizo au zaidi pasi na kuwepo ndoa rasmi iwe ya kidini,kimila au serikali,na pia watu wanaowazunguka hao presumed couple wawe wanawaregard kama ni mume na mke kutokana na life style yao. Hapo ndo watu hao kwa mujibu wa sheria za Tanzania tutawapresume kama ni mke na mume(rebuttable presumption of marriage).Sheria ya ndoa ya Tanzania ndio inayosema ukikaa na mwenza wako miezi mitatu na zaidi ni ndoa hiyo tayari.
Kulikuwa na umuhim wa kufungua post nyingineHapo kwenye miezi 3 sio sahihi, presumption of marriage as per the Law of Marriage Act,ni miaka miwili. Yaani m.ke na m.ume wawe wameishi pamoja kama mume na mke,kwa kipindi cha miaka miwili(2)mfululizo au zaidi pasi na kuwepo ndoa rasmi iwe ya kidini,kimila au serikali,na pia watu wanaowazunguka hao presumed couple wawe wanawaregard kama ni mume na mke kutokana na life style yao. Hapo ndo watu hao kwa mujibu wa sheria za Tanzania tutawapresume kama ni mke na mume(rebuttable presumption of marriage).
Dondoo:
-wawe wameishi pamoja kwa kipindi kisichopungua miaka miwili(2)
-kusiwepo na sherehe yoyote ya ndoa mahususi kwa ajili yao
-majirani/wanaomzunguka wanawachukulia/wanawazingatia kama mke na mume.
Ahsante.
Mkuu hapa hapa nadhani imetosha,kwa sababu ndipo sehemu hoja zilipoibuliwa,so kuanzisha uzi mwengine ni matumizi mabaya ya JF.Kulikuwa na umuhim wa kufungua post nyingine
mkuu kwani mi si nimejibu kulingana na huo huo mlolongo wa majibu pia?au lbd uniambie wapi nimeleta kitu kipya ambacho sijakiquote from wachangiaji wengine!Soma kichwa cha habari na mlolongo wa majibu
Mkuu we meza tuu hata kama haipiti shingoni lazimishaMimi ni padri tena mkatoliki mkuu naomba uniombe samahani
Siyo sitaSheria inasema...
Mwanaume na mwanamke wakiishi miezi mitatu pamoja hao ni mke na mume