Diamond yukoje jamani?!

Diamond yukoje jamani?!

Ukikaa na mwanamke/mwanaume kinyumba miezi mitatu na kuendelea tayari ni mkeo/mumeo kisheria.

So, mume wa Zari.
Hiyo ni sheria ya wapi? Huyo Diamond kwa mujibu wa dini yake ni kuwa anazini na huyo zari na ni dhambi kubwa hiyo,na huyo mtoto waliozaa ni mtoto wa nje ya ndoa,Sasa wewe hiyo sheria yako ni ya wapi?

Na hata hayo ma tattoo aliyojichora kwa mujibu wa Dini anayoamini ni haramu na haifai,hata Sala zake kama anasali ni kazi bure mpaka atakapo futa hizo tattoo mwilini mwake
 
Hiyo ni sheria ya wapi? Huyo Diamond kwa mujibu wa dini yake ni kuwa anazini na huyo zari na ni dhambi kubwa hiyo,na huyo mtoto waliozaa ni mtoto wa nje ya ndoa,Sasa wewe hiyo sheria yako ni ya wapi?
Angekua anafuata dini asingeimba, ishia hapo! Bongo dini ni kwa ajili ya kupeana majina tu na utambulisho basi....hakuna dini.

Na kwa taarifa tu ndoa zote ni za serikali hahahahahha..... Mkishakubaliana kwa kufuata taratibu za mababu wa middle east, then mnahakikisha mnapata cheti ya serikali. Yaani cheti ni lazima, ni lazima serikali itambue ndoa hiyo no matter which way mmetumia kuweka makubaliano ya awali, final ni serikali Ina seal deal.

Sheria ya ndoa ya Tanzania ndio inayosema ukikaa na mwenza wako miezi mitatu na zaidi ni ndoa hiyo tayari.
 
Wewe ni kama nani wa kuniambia "Ishia hapo?" Nimejibu kwa mujibu wa Dini wewe unaongea kwa mujibu wa Serikali, kwahiyo huko kwenye hukumu ya Mungu serikali ndio itaenda kumuhukumu Diamond kuwa alioa ndoa halali? Au Mungu ndio atamuuliza huyo Diamond kwanini Ulizini nami nilikataza?
 
Chillax bro, easy easy. Kwa mujibu wa dini........ Lakini dini yenyewe isiyofuatwa. Great[emoji2]
 
Sheria ya ndoa ya Tanzania ndio inayosema ukikaa na mwenza wako miezi mitatu na zaidi ni ndoa hiyo tayari.
Hapo kwenye miezi 3 sio sahihi, presumption of marriage as per the Law of Marriage Act,ni miaka miwili. Yaani m.ke na m.ume wawe wameishi pamoja kama mume na mke,kwa kipindi cha miaka miwili(2)mfululizo au zaidi pasi na kuwepo ndoa rasmi iwe ya kidini,kimila au serikali,na pia watu wanaowazunguka hao presumed couple wawe wanawaregard kama ni mume na mke kutokana na life style yao. Hapo ndo watu hao kwa mujibu wa sheria za Tanzania tutawapresume kama ni mke na mume(rebuttable presumption of marriage).
Dondoo:
-wawe wameishi pamoja kwa kipindi kisichopungua miaka miwili(2)
-kusiwepo na sherehe yoyote ya ndoa mahususi kwa ajili yao
-majirani/wanaomzunguka wanawachukulia/wanawazingatia kama mke na mume.
Ahsante.
 
Kulikuwa na umuhim wa kufungua post nyingine
 
Mkuu hapa hapa nadhani imetosha,kwa sababu ndipo sehemu hoja zilipoibuliwa,so kuanzisha uzi mwengine ni matumizi mabaya ya JF.
Soma kichwa cha habari na mlolongo wa majibu
 
mkuu kwani mi si nimejibu kulingana na huo huo mlolongo wa majibu pia?au lbd uniambie wapi nimeleta kitu kipya ambacho sijakiquote from wachangiaji wengine!
kuhusu kichwa cha uzi nadhani kipo neutral mtu kuzungumzia chochote kwa jinsi anavomtazama diamond na life lake..."Diamond yukoje jamani?!"...kwa kichwa kama hicho tegemea kuanzishiwa uzi ndani ya uzi.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom