Diamond yupo katika kufanya Project mpya!

Inawezekana Chris Brown ndo msanii anayeshobokewa na wabongo kuliko msanii yoyote duniani
 
Of what use in this poor country
 
Atatisha sana..

Ila kuna hawa watu hawaa Justin Bieber, Beyonce na Taylor swift, hawa watu ni hatarii acha kabisa...

Sijui msanii gani wa Afrika atakuwa wa kwanza kuwafikia, upande wangu ninawaelewa mnoo..
 
sio rahisi kama tunavyodhani hata kama kasema MTV
 
Nitaamini hadi collable yake na NeYo itakapotoka coz mda unazid sogea tu haitoki
 
Da inatia huruma sana dogo official ni ILLUMINAT hakuna faida ya huto tumafanikia if he can sell his soul to devil
 
Kiba bhana, yaani akitoa ngoma watu lazima waje na vistori uchwara, tulieni hiyo iliyotoka sio yenyewe
 
Acha Mawazo ya kijima mkuu,workhard acha wivu.

Huoni dogo yuko Na hizo sign zote za ILLUMINAT sasa hivi sio kitu cha kuficha kavaa hapo shingoni sasa hivi Na jingine kawawekea officini kwake it's not a big deal najaribu kuwasaidia wale ambao wanajilinganisha kimafanikio nakutaka mafanikio ya haraka work hard but kua Na utajiri wa halali
 
nani ambae hajaishiwa?
kwa neyo stori ilikuwa ni hii hii kwamba jamaa kaishiwa na watu wakampropose sana chrisbrown,now yupo kwenye mpango mkakati CB eti nae unasema kaishiwa!!duh, ajabu hii.
Tatizo ni anaye kuwa na ukaribu na Chibu ndio anaye tangaziwa kuishiwa na hata Kanye hujasikia aki tamkiwa hayo? watakufa watu kwa vihoro kama sio kwa sumu, wivu gani huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…