mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
wataota vipi?Tutaota sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wataota vipi?Tutaota sana
Of what use in this poor country![]()
Kituo cha burudani cha MTVBase wametangaza kuwa Diamond Platinums wa Tanzania anajiandaa kufanya kolabo la hatari na msanii wa Marekani Chris Brown.
Habari kutoka kituoni hapo zinadai kuwa mpaka sasa Diamond yuko chimbo akijifua na project hiyo ambayo itafanyika hivi karibuni.
Stay tuned...
KimuhaWatatumia lugha gani kiswahili au kingereza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yuko kwa Ras simba au chimbo gani?
Acha Mawazo ya kijima mkuu,workhard acha wivu.Da inatia huruma sana dogo official ni ILLUMINAT hakuna faida ya huto tumafanikia if he can sell his soul to devil
Acha Mawazo ya kijima mkuu,workhard acha wivu.
Acheni hizo,hayo ni makolabo tu yananunuliwa sikuiz!
Sawa sawa kabisa.Nunua na wewe
Tatizo ni anaye kuwa na ukaribu na Chibu ndio anaye tangaziwa kuishiwa na hata Kanye hujasikia aki tamkiwa hayo? watakufa watu kwa vihoro kama sio kwa sumu, wivu gani huu?nani ambae hajaishiwa?
kwa neyo stori ilikuwa ni hii hii kwamba jamaa kaishiwa na watu wakampropose sana chrisbrown,now yupo kwenye mpango mkakati CB eti nae unasema kaishiwa!!duh, ajabu hii.