OC-CID
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 200
- 463
Za ndaaaani kabisa
Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media.
Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi Media.
Uzinduzi huo haujajulikana utafanyika lini lakini ni siku chache zijazo…